Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Utapiamlo wa kijijini ni njaa.Ikitokea ukawa umezoea kula kiasi fulani kwa muda mrefu basi tumbo uzoea kiasi hicho cha chakula na kuwa hali ya kawaida, sasa watu wa mijini mara nyingi ulaji wao ni mdogo sana kutokana na kuzoea kula kidogo, si kwamba walijikuta wanakula kidogo kisa tu wako mjini ila hali ya maisha imewafanya wabane vyakula na hatimaye miili yao imezoa hali hiyo na kujikuta wanakula kidogo, vijijini watu hula sana kwa sababu vyakula ni vingi na miili yao imezoe tayari ( kumbuka si wote wa mjini hula kidogo na si wote wa vijijini hula sana)
Pia kuna ndugu mmoja kazungumzia suala la watu wa vijijini kuwepo na utapiamlo japo kuna vyakula tele, lakini ikumbukwe kwamba uwepo wa vyakula vingi si kigezo cha watu kuugua utapiamlo au kutougua utapiamlo bali ni namna gani vyakula hivyo vinatumika.
Mikoani natumizi ya sukari na mafuta yako chini sana,hivi vituni muhimu kwa afya na makuzi ya mtotoIkitokea ukawa umezoea kula kiasi fulani kwa muda mrefu basi tumbo uzoea kiasi hicho cha chakula na kuwa hali ya kawaida, sasa watu wa mijini mara nyingi ulaji wao ni mdogo sana kutokana na kuzoea kula kidogo, si kwamba walijikuta wanakula kidogo kisa tu wako mjini ila hali ya maisha imewafanya wabane vyakula na hatimaye miili yao imezoa hali hiyo na kujikuta wanakula kidogo, vijijini watu hula sana kwa sababu vyakula ni vingi na miili yao imezoe tayari ( kumbuka si wote wa mjini hula kidogo na si wote wa vijijini hula sana)
Pia kuna ndugu mmoja kazungumzia suala la watu wa vijijini kuwepo na utapiamlo japo kuna vyakula tele, lakini ikumbukwe kwamba uwepo wa vyakula vingi si kigezo cha watu kuugua utapiamlo au kutougua utapiamlo bali ni namna gani vyakula hivyo vinatumika.
Tukiwa shule, mtu mmoja anakula wali uliokuwa mchele wenye uzito wa aunzi nane ambazo ni sawa na robo kilo. Sasa huyo wa kilo moja mtu mmoja siyo kawaida..!!Wale wataalam wa lishe au wale wataalam wa mahesabu, cross multiplication HiI Imekaaje.
Wote ni watanzania ila matumbo mengine yanapokea full tank.
Niko mkoa ambao sitautaja,nimeshuhudia mtu na mkewe wakipija wali kilo mbili na kubakiza kidogo sana,kwa uzoefu wangu wakuishi Dar kili mbili tulikuwa tukilafamilianzima ya watu nane na unabaki kidogo kiporo cha watoto asubuhí.
Hii imekaaje
Ni standard, na ndo kipimo cha mashuleni..!! Aunzi nane mtu mmoja. Aunzi nane ni sawa na robo kilo.Wewe wa Dsm unawashangaa wa mikoani na wa mikoani wanawashangaa watu wa Dsm. Kwahiyo jiulize wewe kwanza kwanini kilo 1 watu wanne.
hata hapa Dar kuna familia nyingi sana hazijui chai ni kitu gani. Issue ya idadi ya milo haihusiani na mkoa uliopo ila ni uwezo ulionao kama mtu au familia. Watu wengi tu mikoani (na Dar ni mkoani pia) wanaishi maisha ya hadhi kuliko wakazi wa Dar.Mikoani huko vijijini ni milo miwili tu,chai haipo
Kwamba Dar maisha ni mtelemko!? Kwa uzoefu wangu mikoani (japo Dar pia ni mkoani) maisha ni rahisi sana kuliko Dar.Mkoani maisha ni gym tosha
Dar watu hawaliWale wataalam wa lishe au wale wataalam wa mahesabu, cross multiplication HiI Imekaaje.
Wote ni watanzania ila matumbo mengine yanapokea full tank.
Niko mkoa ambao sitautaja,nimeshuhudia mtu na mkewe wakipija wali kilo mbili na kubakiza kidogo sana,kwa uzoefu wangu wakuishi Dar kili mbili tulikuwa tukilafamilianzima ya watu nane na unabaki kidogo kiporo cha watoto asubuhí.
Hii imekaaje
Mikoani ni wapi? Kwanini Dar mnaitenga na mikoa mingine? Nnachojua Dar ni mkoa kati ya mikoa mingi tuliyonayo, au Dar ni wilayani?Wewe wa Dsm unawashangaa wa mikoani na wa mikoani wanawashangaa watu wa Dsm. Kwahiyo jiulize wewe kwanza kwanini kilo 1 watu wanne.
Duh Dar mchele unaanzia 2800? Ushawahi kwenda kununua sokoni au hata duka la mangi?Mkuu Imagine kuna mikoa msimu wa mavuno mchele huwa 900-2200/kg na haizidi hapo ilihali dsm Mchele unaanzia 2800-4000/kg
Sasa hapo nguvu ya kupika Kg2 unaitoa wapi
Mazoea tu..!! Ni kwa vile tu Dar kuna basi la kwenda kila mkoa hapa Tanzania. Hebu fikiria, Musoma kuna basi la kwenda Songea moja kwa moja?Mikoani ni wapi? Kwanini Dar mnaitenga na mikoa mingine? Nnachojua Dar ni mkoa kati ya mikoa mingi tuliyonayo, au Dar ni wilayani?
Sent from my SM-A047F using JamiiForums mobile app