Dar es Salaam kilo moja ya mchele wanashiba watu wanne, Mikoani kilo moja mtu mmoja tatizo liko wapi?

Dar es Salaam kilo moja ya mchele wanashiba watu wanne, Mikoani kilo moja mtu mmoja tatizo liko wapi?

Kimsingi hapo kuna tonge tatu kwa mtu wa kigoma.
Tunakula ili tusife

IMG-20240715-WA0051.jpg
IMG-20240715-WA0051.jpg
 
Sasa huko Dar kila muda wanakula tu na hawana kipimo. Mtu akitoka mishe kabla ya kufika nyumbani unakuta kashabugia sambusa, mishkaki, uji na pweza. Unategemea ukimpa huo wali ½ atamaliza?
 
Kg moja inatakiwa watu 8 yaani kwa mahesabu ya Robo kg ni watu 2..
 
Wale wataalam wa lishe au wale wataalam wa mahesabu, cross multiplication HiI Imekaaje.

Wote ni watanzania ila matumbo mengine yanapokea full tank.

Niko mkoa ambao sitautaja,nimeshuhudia mtu na mkewe wakipija wali kilo mbili na kubakiza kidogo sana,kwa uzoefu wangu wakuishi Dar kili mbili tulikuwa tukilafamilianzima ya watu nane na unabaki kidogo kiporo cha watoto asubuhí.

Hii imekaaje
Umaskn ukiwa unakula sana bs ww una future kula kias syo jtu linakula kama atakula tena achen kujishndilia kama gunia lamkaa waambie kuna jela
 
Wale wataalam wa lishe au wale wataalam wa mahesabu, cross multiplication HiI Imekaaje.

Wote ni watanzania ila matumbo mengine yanapokea full tank.

Niko mkoa ambao sitautaja,nimeshuhudia mtu na mkewe wakipija wali kilo mbili na kubakiza kidogo sana,kwa uzoefu wangu wakuishi Dar kili mbili tulikuwa tukilafamilianzima ya watu nane na unabaki kidogo kiporo cha watoto asubuhí.

Hii imekaaje
Nenda kalime ekari Moja halafu upewe ugali kiasi cha nusu ngumu utapata majibu kwanini wengine wanakula sana
 
Kula sana sio tija labda kama unafanya kazi ngumu mwili huwa unahitaji chakula cha kutosha.
 
Semeni ukweli ni kwamba Dar kuna njaa sana kila kitu kinaenda kwa bajeti na uchoyo uchoyo. Sisi huku mkoa piga dusko la uwezo wako tembea sio dar unapakua mwingi familia nzima wanakutolea macho😀😀

Nilienda kwa ndugu zangu fulani back years nilikua nakula mtaani kisha nikirudi napakua kidoogo ili kuendana na beat.

Kilo moja watu 8? What a shame
Basi ndugu zako ndio wana njaa ila sio Dar es Salaam nzima.
Kuna watu wa Dar wanamiliki mashamba mikoani hasa Morogoro.
Wao ni kutoa shambani kuvijaza Dar wanapoishi.
Sema ndugu zako ndio wana njaa.
 
Wale wataalam wa lishe au wale wataalam wa mahesabu, cross multiplication HiI Imekaaje.

Wote ni watanzania ila matumbo mengine yanapokea full tank.

Niko mkoa ambao sitautaja,nimeshuhudia mtu na mkewe wakipija wali kilo mbili na kubakiza kidogo sana,kwa uzoefu wangu wakuishi Dar kili mbili tulikuwa tukilafamilianzima ya watu nane na unabaki kidogo kiporo cha watoto asubuhí.

Hii imekaaje
Mindset
Masuala ya lishe hayaitaji shule kubwa kiivyo.
Jaribu siku moja dunduliza njaa ya asubui na mchana uje kula usiku huone kama kilo moja ni nyingi kiasi gani.
Au hao uliowaona mikoani waamishie dar waishi mwezi mmoja wakijitemea kila kitu, hapo utapata majibu sahihi.

Kwakifupi maisha ya Dar tunatumia akili nyingi na nguvu kidogo.
Ukija na jembe mjini utalima lami bro.
 
Mkuu Imagine kuna mikoa msimu wa mavuno mchele huwa 900-2200/kg na haizidi hapo ilihali dsm Mchele unaanzia 2800-4000/kg

Sasa hapo nguvu ya kupika Kg2 unaitoa wapi
Wapo wenye mashamba mikoani na hawanunui mchele dukani kirejareja.
 
Wale wataalam wa lishe au wale wataalam wa mahesabu, cross multiplication HiI Imekaaje.

Wote ni watanzania ila matumbo mengine yanapokea full tank.

Niko mkoa ambao sitautaja,nimeshuhudia mtu na mkewe wakipija wali kilo mbili na kubakiza kidogo sana,kwa uzoefu wangu wakuishi Dar kili mbili tulikuwa tukilafamilianzima ya watu nane na unabaki kidogo kiporo cha watoto asubuhí.

Hii imekaaje
Kingine .......

Dar, wali huliwa na zaidi ya mboga 1 na mara nyingi mboga 3 ama zaidi jumlisha maji ya kutosha ama soft drink, say nyama italiwa na maharagwe pamoja na veggies wakati mokoani na vijijini hii sio sana.

Na ukishazoea, mboga mboga huwa zinakawaida ya kukaa sana tumboni kuliko wanga so kutengeneza mazoea ya kutokula sana.
 
Kwa ufaham wangu.
Mfumo wa kula kwa binadamu hudadilika kulingana na
1.KAZI;mtu anayefanya kazi ngumu lazima ulaji wake uwe mkubwa tofauti na mtu asiye fanya kazi ngumu. kwenye kazi ngumu haijalishi mtu anaishi mjini au kijini ulaji lazima utaongezeka.
2.Mazingira.
in terms of weather condition.Mtu anye ishi sehemu ya joto ulaji huogezeka kutokana na high digestion of food ndo maana watu waishio sehem izo huwa wanatafuna tafuna tu kila mara,eg karanga,andaz nk but mtu anaye ishi sehemu ya baridi ulaji huwa mdogo.
3.kipato.
katka kipengele hiki kipo 50/50.
kiafrika wenye kipato ndo wañaongoza kula kwa kuwa wana kula kidogo kodogo means anakula milo mitatu au zaid,lkn mwenye kipato cha chini anakula mlo mmjo au miwil kwa kufidia magap ambayo hajala,lzma ale kipimo kikubwa cha chakula.
4.kuwa na utamadun wa cha kula fulan.
Mtu aliye zoea kula ugali,akila vyakula vingine kama wali anaona kama hashibi itamfanya awe ana kula sana.

kwa hiyo kuna sababu nyingi sana zinazo pelekea mtu awe ana angeza kipimo cha chakula.
 
Kilo moja(1) ya mchele inatakiwa kuliwa na watu nane(8)
Watu masikini wanakula vyakula vyenye wanga mwingi (ugali, wali) kujaza matumbo na kupata energy.

Wakati lishe bora haitaki wanga mwingi sana, inataka virutubisho, protein, vitamins, minerals. Ambazo hizi zinapatikana katika mboga/ kitoweo.
 
Wale wataalam wa lishe au wale wataalam wa mahesabu, cross multiplication HiI Imekaaje.

Wote ni watanzania ila matumbo mengine yanapokea full tank.

Niko mkoa ambao sitautaja,nimeshuhudia mtu na mkewe wakipija wali kilo mbili na kubakiza kidogo sana,kwa uzoefu wangu wakuishi Dar kili mbili tulikuwa tukilafamilianzima ya watu nane na unabaki kidogo kiporo cha watoto asubuhí.

Hii imekaaje
Dar bajeti maisha magumu!!
 
Mm nakulaga kdg sana na kwakwel sipend kula kdg, mm napenda nle sana yan nijaze bas tu madonda ya tumbo yananinyima appetite
 
Mindset
Masuala ya lishe hayaitaji shule kubwa kiivyo.
Jaribu siku moja dunduliza njaa ya asubui na mchana uje kula usiku huone kama kilo moja ni nyingi kiasi gani.
Au hao uliowaona mikoani waamishie dar waishi mwezi mmoja wakijitemea kila kitu, hapo utapata majibu sahihi.

Kwakifupi maisha ya Dar tunatumia akili nyingi na nguvu kidogo.
Ukija na jembe mjini utalima lami bro.
WatU wanasomea nutrition degree kabisa,hizi club Kubwa huwa zinaajiri wataalamu walishe so usichukulie poa japo point zako zingine ziko sahihi
 
Back
Top Bottom