Dar es Salaam kilo moja ya mchele wanashiba watu wanne, Mikoani kilo moja mtu mmoja tatizo liko wapi?

Dar es Salaam kilo moja ya mchele wanashiba watu wanne, Mikoani kilo moja mtu mmoja tatizo liko wapi?

Hao wote hamna kitu.Waje hapa ninapoishi wapate tuisheni.Unga kilo kadhaa unapikwa ugali halafu unakatwa kidogo ndiyo unakuwa mboga.Yaani tunakula ugali mkubwa kwa kutoeza kwenye ugali mdogo kama mboga.
Kwa style hii utapiamlo hautaisha
 
Kisayansi hii imekaa sawa kwa sababu maeneo yenye baridi mwili unatumia nguvu nyingi kutengeneza joto, hivyo huhitaji chakula kingi kuliko maeneo yenye joto.
Arusha hakuna mishikaki, bar zote kuna mzani nyama inaliwa kwa kilo.

Dar ukiona mzani ujuwe wanauza kitimoto lakini Arudha almost bar zote zina mizani, nyama inalika haswa siyo kwa kubeep kama Dar mtu anaagiza mishikaki miwili.
 
Wale wataalam wa lishe au wale wataalam wa mahesabu, cross multiplication HiI Imekaaje.

Wote ni watanzania ila matumbo mengine yanapokea full tank.

Niko mkoa ambao sitautaja,nimeshuhudia mtu na mkewe wakipija wali kilo mbili na kubakiza kidogo sana,kwa uzoefu wangu wakuishi Dar kili mbili tulikuwa tukilafamilianzima ya watu nane na unabaki kidogo kiporo cha watoto asubuhí.

Hii imekaaje
Dar ule sana kwani unaenda kulima?

Vijijini kazi ngumu za mashambani, kutembea umbali sio chini ya km5 kila siku, wamama wanatembea umbali mrefu kuteka maji na kubeba kuni...lazima wale na wala hawatoki vitambi tofauti na mtu wa Dar ambae umbali wa mita 200 lazima apande daladala au boda, kazi nyingi ni za kutulia sehemu moja ...hivyo kula chakula kingi cha wanga inaweza kukuletea matatizo ya afya
 
Dar watu wanabana matumizi, mtu anakula mihogo ya jelo na chai tena saa 5 asubuhi,,,,, huku mikoani tunajilipua... Yani tulime wenyewe hafu kula tule kwa kujibana?????
 
Hii chai. Hata mikoani hakuna anayemaliza kilo moja peke yake. Ungesema tu watu wa mikoani wanakula kuliko wa Dar ungeeleweka kuliko kuingiza uongo.
Uko mkoa upi mkuu njoo usukumani uone ugali wa watu wawili,uko dar mnakula familia nzima
 
Wale wataalam wa lishe au wale wataalam wa mahesabu, cross multiplication HiI Imekaaje.

Wote ni watanzania ila matumbo mengine yanapokea full tank.

Niko mkoa ambao sitautaja,nimeshuhudia mtu na mkewe wakipija wali kilo mbili na kubakiza kidogo sana,kwa uzoefu wangu wakuishi Dar kili mbili tulikuwa tukilafamilianzima ya watu nane na unabaki kidogo kiporo cha watoto asubuhí.

Hii imekaaje
Dar es Salaam, hasa wanaume mengi hawana cha kufanya zaidi ya kukaa na kuongea porojo vijiweni
 
Wale wataalam wa lishe au wale wataalam wa mahesabu, cross multiplication HiI Imekaaje.

Wote ni watanzania ila matumbo mengine yanapokea full tank.

Niko mkoa ambao sitautaja,nimeshuhudia mtu na mkewe wakipija wali kilo mbili na kubakiza kidogo sana,kwa uzoefu wangu wakuishi Dar kili mbili tulikuwa tukilafamilianzima ya watu nane na unabaki kidogo kiporo cha watoto asubuhí.

Hii imekaaje

Labda iwapo shughuli zao zinahitaji nguvu na misuli kama fundi mbeba zege , tofali , Mkulima wa jembe la mkono na mtembeo kwa muda huu kilomita nyingi kwenda na kutoka shambani ,
Vinginevyo baada ya muda watakuwa waugua ugonjwa wa kusukari na presha na Sawa zake bei kubwa.
God forbid
 
Wale wataalam wa lishe au wale wataalam wa mahesabu, cross multiplication HiI Imekaaje.

Wote ni watanzania ila matumbo mengine yanapokea full tank.

Niko mkoa ambao sitautaja,nimeshuhudia mtu na mkewe wakipija wali kilo mbili na kubakiza kidogo sana,kwa uzoefu wangu wakuishi Dar kili mbili tulikuwa tukilafamilianzima ya watu nane na unabaki kidogo kiporo cha watoto asubuhí.

Hii imekaaje
Mikoani ndio wapi?
 
Mikoani huko vijijini ni milo miwili tu,chai haipo
Shida ya mikoani watu wanakula kujaza matumbo bila kuzingatia mlo bora au kamili. Elimu rahisi kabisa ya mlo kamili inataka sahani ya mlo uigawanye robo 4 na kila robo iwe na mbogamboga, matunda, wanga (wali, ugali, viazi, ndizi ni) na ya mwisho iwe ni protini (nyama, samaki nk)...sasa unakuta mtu asubuhi anapiga sahani ya wali na chai ya rangi ( wanga tupu), mchana au usiku ugali/wali na maharage, ndiyo maana utapiamlo ambao hupelekea udumavu wa akili hauwezi kuisha. Madhara ya udumavu wa akili ni pamoja na kuwa na jamii tegemezi (inayoamini kuna mtu ndiye ataleta maendeleo au mageuzi, kuamini kwamba kuna mtu atakuwa anafikiri na kuwaaamulia hatma ya maisha yao , yaani kuamini kwamba serikali itawaletea kila kitu nk ), jamii isiyopenda kusoma na kujielimisha ili iwe rahisi kukabiliana na changamoto mbalimbali, jamii inayopenda mafanikio kwa njia ya mkato na bila jitihada ya dhati ( uchawa, kubeti, kwenda kuombewa na kudanganywa na manabii wa uwongo na kufanywa mtaji na wanasiasa wenye ulaghai nk nk nk
 
Back
Top Bottom