Cassnzoba
JF-Expert Member
- Feb 26, 2022
- 3,661
- 6,913
Hiyo inategemea na hali ya hewa piaWale wataalam wa lishe au wale wataalam wa mahesabu,cross multiplication HiI Imekaaje...
Dar kuna joto kwahy metabolic activities zipo very slow ili kupunguza heat production within the body ndo maana kiasi cha chakula kuwa oxidized ili kuzalisha nguvu na joto kinakuwa kidogo
Lakini kwenye mikoa yenye kabard kwa mfan mbeya,iringa nk
Kukiwa na baridi, mwili unahitaji kuzalisha joto kwahy metabolic activities zitakuwa faster na hivo chakula kitahitajika kwa kiwango kikubwa ili kuzalisha nguvu na joto