Wanatumia nguvu nyingi kimaisha!Wale wataalam wa lishe au wale wataalam wa mahesabu, cross multiplication HiI Imekaaje.
Wote ni watanzania ila matumbo mengine yanapokea full tank.
Niko mkoa ambao sitautaja,nimeshuhudia mtu na mkewe wakipija wali kilo mbili na kubakiza kidogo sana,kwa uzoefu wangu wakuishi Dar kili mbili tulikuwa tukilafamilianzima ya watu nane na unabaki kidogo kiporo cha watoto asubuhí.
Hii imekaaje
Dar asilimia kubwa watu hawafanyi kazi ngumu . Mikoani watu huko wanalima sana na kazi zingine za nguvu.Wale wataalam wa lishe au wale wataalam wa mahesabu, cross multiplication HiI Imekaaje.
Wote ni watanzania ila matumbo mengine yanapokea full tank.
Niko mkoa ambao sitautaja,nimeshuhudia mtu na mkewe wakipija wali kilo mbili na kubakiza kidogo sana,kwa uzoefu wangu wakuishi Dar kili mbili tulikuwa tukilafamilianzima ya watu nane na unabaki kidogo kiporo cha watoto asubuhí.
Hii imekaaje
Dar watu wanaishi kwa bajeti hawaendekezi kula kula hovyo.Wale wataalam wa lishe au wale wataalam wa mahesabu, cross multiplication HiI Imekaaje.
Wote ni watanzania ila matumbo mengine yanapokea full tank.
Niko mkoa ambao sitautaja,nimeshuhudia mtu na mkewe wakipija wali kilo mbili na kubakiza kidogo sana,kwa uzoefu wangu wakuishi Dar kili mbili tulikuwa tukilafamilianzima ya watu nane na unabaki kidogo kiporo cha watoto asubuhí.
Hii imekaaje
Dar wali unaliwa na mboga Saba. Huko kwenu usweken mna ula na Nini?Wale wataalam wa lishe au wale wataalam wa mahesabu, cross multiplication HiI Imekaaje.
Wote ni watanzania ila matumbo mengine yanapokea full tank.
Niko mkoa ambao sitautaja,nimeshuhudia mtu na mkewe wakipija wali kilo mbili na kubakiza kidogo sana,kwa uzoefu wangu wakuishi Dar kili mbili tulikuwa tukilafamilianzima ya watu nane na unabaki kidogo kiporo cha watoto asubuhí.
Hii imekaaje
MmhHali ya hewa pia huchangia....
Jotoni watu hula kiduchu
Baridini watu hufukia sana
Kwa nini hivyo vitu usinunue ukahifadhi Hom, Uwe unaandaliwa, kumbuka hivi vya kununua vikiwa tayari vimeandaliwa(mfano kula kwa mama ntilie sio salama)Kula karanga, korosho, pweza, sambusa, mishikaki, maziwa, mayai, matunda kwa muda tofauti katika siku sio kula hovyo hovyo, hivi ni aina ya vyakula vyenye virutubisho vingi muhimu lakini pia visivyo na side effects nyingi vikizidi. Kula hovyo ni ulaji wa vyakula vya sukari, junk foods na kushindilia tumbo mikate, chapati, ugali au wali katika mlo mmoja.
Hofu yangu ni usalama wa huyo rafiki wa mkeo,mtu akikupikia kuna bond fulan hivi inajengeka kati yenu,chakula ni kitu kidogo ila kina influence sana kwenye mahusiano,haitomtamani kweli shemeji yako kupitia misosi yake mitamuKwa nini hivyo vitu usinunue ukahifadhi Hom, Uwe unaandaliwa, kumbuka hivi vya kununua vikiwa tayari vimeandaliwa(mfano kula kwa mama ntilie sio salama)
Vuta picha mama ntilie anaweka panadol/magadi kwenye maharage ili yaive haraka
Unawekewa Bia kwenye nyama ili iive haraka
Hao wauza supu ya Pweza wanachanganya na Viagra ili watumiaji tuamini supu ya pweza inaongeza nguvu za kiume
Mpaka wauza karanga eti wanatumia kemikali kwa ajili ya kukaanga karanga
Hapo hatujahusisha uchafu tunaolishwa kutokana na imani za kishirikina (kutumia maji yaliooshewa maiti)
Unanunua vitumbua mpishi kachambia sehemu za siri tukiachana na hizi chapati ambazo tunashuhudia wanatumia vipande vya godoro
Wale wa juisi ya miwa hatujui yale maji wanayogandishia barafu usalama wake upoje hii ni moja ya sababu inayonifanya niwaambie wanikamulie yamoto na huwa nakuwa makini haswa
Binafsi nimemuelewa sana mke wangu kuniletea rafiki yake awe ananipikia, na anajua kupika haswa kama yeye mwenyewe
Kazi yangu ni kununua mahitaji ya kuwekwa kwenye friji yatawekwa muhimu nile kilicho salama tu
Hata juisi hataki ninunue ananiambia tu lete matunda nitakutengemezea juisi unayohitaji
Tukirudi huko mahotelini, hatujui mazingira ya jikoni yapoje
Binafsi nimekula kwa mama ntilie miaka si chini ya 20
Ila naamini chakula salama ni kile unachokiandaa au kinachoandaliwa na mtu anayekujali, sio hivi vya biashara
Note: KUNA MAZINGIRA YANATULAZIMU KULA HIVYO VYAKULA VILIVYOANDALIWA TAYARI HATA KAMA SI SALAMA KWA 100% ILA NDO HIVYO HATUNA JINSI TUNAAMUA TU LIWALO NA LIWE
Mikoani tunakula,Dar es Salaam mnaonjaDar tunakula kula. Tatizo mkoani milo mitatu tu.
Hamna mkuu siwezi, najiheshimu pia namuheshimu, kingine mke wangu ni mzuri kuliko yeye, pia nimezungukwa na mashemeji wazuri wazuri kitu kinachofanya nione kawaida tuHofu yangu ni usalama wa huyo rafiki wa mkeo,mtu akikupikia kuna bond fulan hivi inajengeka kati yenu,chakula ni kitu kidogo ila kina influence sana kwenye mahusiano,haitomtamani kweli shemeji yako kupitia misosi yake mitamu