johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Wewe endelea na masihara yako tu bwashee!Tutatengeneza mabarabara ya kiwango cha Rami mpaka vichocboroni vumbi liishe
Tanzania ni nchi tajiri sana tutashirikiana na Matajiri wenzetu waChina
Nasema uongo ndugu zangu?
Huyu mtoto wa Lumumba ni kichaa, anadhani wote ni MATAGA ambao akili zao zinashikiliwa na mtu mmoja aliyeko KaragweHilo vumbi itakuwa ndio limeanza mwaka huu, miaka iliyopita hapakuwahi kuwa na vumbi dsm au labda barakoa zilikuwa bado hazijatengenezwa?!
Semeni ukweli uwaweke huru, Tanzania ni sehemu ya ulimwengu sisi sio kisiwa kilichopo sayari nyingine.
Na wajinga wanamshangiliaTatizo mwenyekiti wenu mwongo, mbaya zaidi anadanganyia madhabahuni
KweeeeriiiiiiiiiiiiTutatengeneza mabarabara ya kiwango cha Rami mpaka vichocboroni vumbi liishe
Tanzania ni nchi tajiri sana tutashirikiana na Matajiri wenzetu waChina
Nasema uongo ndugu zangu?
Mkuu siyo kila mweupe ni mzunguTatizo mwenyekiti wenu mwongo, mbaya zaidi anadanganyia madhabahuni
Tulisha piga maombi na Mungu akatujibu kwa kuisambaratisha CoronaAcha zako, talalilla, sema kuna corona, kuwa muwazi, sema we need to observe measure against corona as stipulated by WHO. Stop Magufulis' indoctrination about corona!
Una ushahidi au unabwabwaja tu bwashee?!!Acha zako, talalilla, sema kuna corona, kuwa muwazi, sema we need to observe measure against corona as stipulated by WHO. Stop Magufulis' indoctrination about corona!
Kwani barakoa ni dawa?Utavaaje barakoa kwenye nchi isiyo na maradhi husika?Tanzania hatuna corona
Umeanza matusi, tabia hiyo naona inaanza kukuvamia. Muulize huyo kama nabwabwaja, utapata ushahidi mwema. Jpili nakustahi kidogo, ukizidi nakulipua, potelea mbaliUna ushahidi au unabwabwaja tu bwashee?!!
Mabadiliko ya tabia nchi!Hilo vumbi itakuwa ndio limeanza mwaka huu, miaka iliyopita hapakuwahi kuwa na vumbi dsm au labda barakoa zilikuwa bado hazijatengenezwa?!
Semeni ukweli uwaweke huru, Tanzania ni sehemu ya ulimwengu sisi sio kisiwa kilichopo sayari nyingine.