Dar es Salaam kuna vumbi sana kipindi hiki ila ukivaa Barakoa na kunawa mikono unaonekana mshamba!

Dar es Salaam kuna vumbi sana kipindi hiki ila ukivaa Barakoa na kunawa mikono unaonekana mshamba!

Semeni ukweli uwaweke huru, Tanzania ni sehemu ya ulimwengu sisi sio kisiwa kilichopo sayari nyingine
Tatizo lako linaanzia pale unapowaza kuwa ulimwengu ni nchi nyingine na ndizo zinastahili kusikilizwa tu kwa kila jambo wakati unajua kabisa kuwa Tanzania kama sehemu ya ulimwengu nayo inapaswa kusikilizwa na nchi nyingine!
 
Umeanza matusi, tabia hiyo naona inaanza kukuvamia. Muulize huyo kama nabwabwaja, utapata ushahidi mwema. Jpili nakustahi kidogo, ukizidi nakulipua, potelea mbali
Huyo hauna haja ya kumstahi wewe mlipue tu
 
Ujumbe umefika in other way around. Asante kaka
Watu wamepewa trainining jinsi ya ku address covid-19 kiaina, zamani tulifundishwa tukipita vichakani tusitamke neno "nyoka" walisema ni vibaya![emoji55][emoji846][emoji55][emoji846]
 
Akishasema malaika mkuu hakuna cha scientific proof
Huyo ni biandamu kama binadamu wengine. Malaika mkuu yuko mbinguni sio duniani.
Hata ww unaweza amua kusema haipo.

But with no supporting evidence hizo ni blah blah
 
Hilo vumbi itakuwa ndio limeanza mwaka huu, miaka iliyopita hapakuwahi kuwa na vumbi dsm au labda barakoa zilikuwa bado hazijatengenezwa?!

Semeni ukweli uwaweke huru, Tanzania ni sehemu ya ulimwengu sisi sio kisiwa kilichopo sayari nyingine.
Kuwa sehemu ya ulimwengu haina maana kila kilichopo au kinachotokea sehemu nyengine basi lazima kitokee na kwako,ingekuwa hivyo basi pia tungeona athari za corona tulizoona China,ulaya na kwingineko kutokea na huku afrika maana ni sehemu ya ulimwengu.
 
Back
Top Bottom