At Calvary
JF-Expert Member
- Aug 22, 2018
- 4,533
- 3,595
Sawa Shukraninimekuelewa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawa Shukraninimekuelewa
Athali za corona zipo za kutosha tuu, subiri ufikiwe ndipo utajuaKuwa sehemu ya ulimwengu haina maana kila kilichopo au kinachotokea sehemu nyengine basi lazima kitokee na kwako,ingekuwa hivyo basi pia tungeona athari za corona tulizoona China,ulaya na kwingineko kutokea na huku afrika maana ni sehemu ya ulimwengu.
Tujadiliane tu hakuna haja ya kunitishia kufariki.Athali za corona zipo za kutosha tuu, subiri ufikiwe ndipo utajua
Naomba sana usife ili uweze kushuhudia uwepo wake.Tujadiliane tu hakuna haja ya kunitishia kufariki.
MmmhMnaandika Sana kuhusu "vumbi" Hadi napiga chafya.
Nia na madhumuni ya uzi wako ni nini ?Kiukweli Dar es Salaam kipindi hiki kuna joto na vumbi kali linalopulizwa na upepo wa hapa na pale.
Kwa kawaida vumbi hubeba vijidudu vya kila aina hasa ukizingatia wakazi wa Dar wana tabia ya kutema mate na kupenga kamasi hovyo hovyo tu.
Japokuwa ukivaa barakoa unaonekana " wakuja" lakini kwa vumbi hili heri lawama kuliko fedheha, barakoa na kunawanawa ni muhimu ili utembee salama barabara za vumbi.
Nawatakia Dominica yenye baraka.
Maendeleo hayana vyama!
Tuvae barakoa!
Tutavaa mpaka pale #1 na wasaidizi wake akatapo tuambia...siyo nyieTuvae barakoa!
Hujasikia mwongozo wa mwenyekiti hapo Bawacha?Tutavaa mpaka pale #1 na wasaidizi wake akatapo tuambia...siyo nyie
Ova
Sent from my SM-N920T using JamiiForums mobile app
Kushuhudia jambo na kuelewa hicho unachoshuhudia ni vitu viwili tofauti,na ndio maana tunaenda hospitali na kumueleza Doctor kile tunacho kiexperience na Doctor ndio anatuambia tatizo ni nini.Naomba sana usife ili uweze kushuhudia uwepo wake.
Mkuu, Mheshimiwa alikuudhi nini? Mirija imekatwa nini? Hewa hewa zile!!Tutatengeneza mabarabara ya kiwango cha Rami mpaka vichochoroni vumbi liishe
Tanzania ni nchi tajiri sana tutashirikiana na Matajiri wenzetu Wachina
Nasema uongo ndugu zangu?