Dar es Salaam kuna vumbi sana kipindi hiki ila ukivaa Barakoa na kunawa mikono unaonekana mshamba!

Dar es Salaam kuna vumbi sana kipindi hiki ila ukivaa Barakoa na kunawa mikono unaonekana mshamba!

Kuwa sehemu ya ulimwengu haina maana kila kilichopo au kinachotokea sehemu nyengine basi lazima kitokee na kwako,ingekuwa hivyo basi pia tungeona athari za corona tulizoona China,ulaya na kwingineko kutokea na huku afrika maana ni sehemu ya ulimwengu.
Athali za corona zipo za kutosha tuu, subiri ufikiwe ndipo utajua
 
Kiukweli Dar es Salaam kipindi hiki kuna joto na vumbi kali linalopulizwa na upepo wa hapa na pale.

Kwa kawaida vumbi hubeba vijidudu vya kila aina hasa ukizingatia wakazi wa Dar wana tabia ya kutema mate na kupenga kamasi hovyo hovyo tu.

Japokuwa ukivaa barakoa unaonekana " wakuja" lakini kwa vumbi hili heri lawama kuliko fedheha, barakoa na kunawanawa ni muhimu ili utembee salama barabara za vumbi.

Nawatakia Dominica yenye baraka.

Maendeleo hayana vyama!
Nia na madhumuni ya uzi wako ni nini ?

Ova

Sent from my SM-N920T using JamiiForums mobile app
 
Naomba sana usife ili uweze kushuhudia uwepo wake.
Kushuhudia jambo na kuelewa hicho unachoshuhudia ni vitu viwili tofauti,na ndio maana tunaenda hospitali na kumueleza Doctor kile tunacho kiexperience na Doctor ndio anatuambia tatizo ni nini.
 
Mshamba anayeishi ni bora kuliko mjanja aliyefariki....
 
Back
Top Bottom