Dar es salaam limegeuka jiji la makelele, Serikali imelala?

Wenzako wenye hela wamesogea Mbweni.

Hata iliyokuwa mitaa ya kishua Dar zama hizo, watoto wanaweza cheza mpira barabarani siku hizi dała dała zinakatiza.

Ukitaka amani sogea nje, akina sisi tusio na uwezo wa kununua Mbweni, utaratibu ni Kibaha.
 
Hama Dsm Mkuu, Tanzania ni kubwa
 
Ushaambiwa jiji la biashara then unalalamika kelele.
Hamia Mtwara/Lindi ambako kumetulia.
Dar ina wakazi 6M, wewe lonely ndo hupendi kelele.
 
Kuna mambo yanafurahisha sana...
Haswa zile megaphone zinzotumwa kuitilia wateja ni kero haswa...


Cc: Mahondaw

Ni shida, ukirudi nyumbani unasikia masikio yanalia nzwiiiiiiiiii.

Matokeo yake watu hata kuzungumza wanajikuta wanaanza kushout maana wameshaharibiwa sauti na hayo makelele
 
Ukitaka Utulivu ukae nje ya mji, katikati ya Jiji ngumu sanaa kuwepo Utulivu, watu hawalali ni biashara usiku kucha.
 
Wahubiri walokole KWENYE vituo vya daladala, KWENYE daladala, masokoni na Kila penye mkusanyiko wa watu, NI makelele, makelele makelel

Too much Kelele zitaleta Changamoto ya Afya ya Akili sooner kama bado hazijaanza already !

Kwani Wataalamu wanasemaje kuhusu makelele na Afya ya Akili ?
Havina uhusiano ?!
 
Dar haina utulivu usipokerwa na makelele utakerwa na joto au foleni za ajabu ajabu.
 
Ip
Ipige marufuku hz njemba zinazohubiri stend za mabasi na maspika Yao, wauza magenge na vispika vyso,ukienda soko la karume, unaweza ukadhani umeingia jehanamu, makelele balaa,, honi kwenye magari, na pikipiki, unaweza ukasikia honi, uksfikiri youtong ipo nyuma, kumbe,na li bodaboda linakuja speed
 

Soko la machinga wa mwenge, napo mikelele mtindo mmoja
 
Mungu akubariki kwa kuleta mada hii. Dar es Salaam ni dampo la kelele.

Naongezea
5. Makelele ya baadhi ya misikiti na makanisa. Mungu hahitaji sauti za maspika makubwa wakati wa ibada ndo atusikie. Ikiwa ni mkutano wa injili au mhadhara hapo sawa. Lakini kuamshana usiku/mchana au saa 11 asubuhi na kelele za maspika wakati kila mtu anajua wajibu wake si poa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…