Roving Journalist
JF Roving Journalist
- Apr 18, 2017
- 3,984
- 13,760
Wakuu,
Mada hii itakuwa na 'Updates' za Uchaguzi Mkuu 2020 kama yanavyotujia kutoka kwenu kutoka mkoa wa Dar es Salaam. Ukiwa na taarifa yoyote ambayo ni ya eneo hili tafadhali usisite kuweka.
Ubungo
Profesa Kitila Mkumbo (CCM) - Kura 63,221
Boniface Jacob (CHADEMA) - kura 20,620
Kibamba
Issa Jumanne Mtemvu (CCM) - Kura 54,496
Ernest Stanley (CHADEMA) - Kura 19,744
Kinondoni
Tarimba Abbas (CCM) - Kura 112,014,
Suzanna Lyimo (Chadema) - Kura 11260
Kawe
Askofu Josephat Gwajima (CCM) - Kura 194,833
Halima Mdee (CHADEMA) - Kura 32,524
Kigamboni
Dkt.Faustine Ndugulile(CCM) - Kura 34, 540
Mageleli Simon (Chadema) - Kura 11,306
Ilala
Mussa Azani Zungu (CCM) - Kura 26499
Juma Isaak (CHADEMA) - Kura 6534
Segerea
Bonnah Kamoli (CCM) - Kura 76,828
John Mrema (CHADEMA) - Kura 27,612
Ukonga
Jerry Silaa (CCM) - Kura 120,936
Asia Msangi (CHADEMA) - Kura 21,63
Temeke
Dorothy Kilave (CCM) - Kura 192,756
Yahya Omary (ACT Wazalendo) - Kura 28,260
Mbagala
Abdallah Chaurembo (CCM) - Kura 283,000
Hadija Mwago (CHADEMA) - Kura 13,985
ZINGATIA: Mikoa yote ina mada yake ya 'Update' ili kuweka wepesi katika ufuatiliaji.
UPDATE
HALIMA MDEE MIKONONI MWA POLISI KAWE
Mgombea Ubunge wa Kawe(CHADEMA) anadaiwa kushikiliwa kituo cha Polisi Kawe baada ya wasimamizi wa vituo kuwaita polisi kwa kile walichodai kufanyiwa fujo.
Halima Mdee amedai kuwa ''Nimeamka nakagua Vituo vya kupigia kura. Nilianza na Jangwani Beach. Nmekuta Mabegi yamejaa kura ambazo zimeshapigwa tayari. Kura zina tiki kwa Mgombea Ubunge na Rais wa CCM. Nikapiga kelele Wananchi wakajaa. Tukakagua vyumba vyote tukakuta mabegi ya kura.
Polisi wakaja Wakanikamata mimi na Vijana wanne ambao ni Wasimamizi wa Vituo na yale Mabegi. Baada ya hapo nikaenda Kituo cha Kawe Sokoni. Wakanikatalia kuingia, tulihisi kuna kula feki. Nilipo lazimisha kuingia akaja tena Afande Mjema akanikamata kwamba na kunipeleka kituoni kwamba mimi ni mtuhumiwa. Baada ya kuandika maelezo nikaachiwa.
JamiiForums iliwasiliana na Mkurugenzi wa Uchaguzi Kinondoni na akasema kwamba taarifa alizonazo ni kwamba watu wanne ambao ni Wasimamizi wa Uchaguzi wametekwa na kikundi cha Halima Mdee. Na wameshatoa taarifa Polisi wanazifanyia kazi.