Uchaguzi 2020 Dar es Salaam: Matukio na Matokeo ya Uchaguzi Mkuu 2020 kama yanavyotujia

Uchaguzi 2020 Dar es Salaam: Matukio na Matokeo ya Uchaguzi Mkuu 2020 kama yanavyotujia

Kwa Dar

Chadema watashinda
1. Kawe
2. Ubungo
3. Kibamba
4. Ukonga
5. Segerea (sina hakika sana)

Kwingine ni CCM
 
Tuikomboe Dar es salam kutoka kwa matapeli wa siasa Chadema.
 
Kila la kheri kwa wagombea woteeeee

Chaguo la Mungu leo anapewa kura za kuweka historia.. kwa kufuatiwa na wagombea wake woteee wa Chama Chake[emoji172][emoji169][emoji172][emoji169][emoji172][emoji169]

Tunasubiri kwa furaha sana.. maana

Magufuli ni Baba lao[emoji817][emoji817][emoji817].. dunia nzima anaitetemesha..
[emoji3577][emoji3577][emoji3577][emoji3577][emoji3577][emoji3577]
 
Kituo A 2 wananchi wamegoma kupiga kura mpaka mabox yawe na 'seals'
Kituo A 4 , BOXES 527159, wameanza kupiga kura bila hayo mabox kuwa na 'seals'. Sijui zitakuja saa ngapi?

MNAOHUSIKA FUATILIENI!!!
 
2603834_Shule_Ukwamani.jpg
 
Mimi na Ndugu zangu tumetimiza wajibu wetu wa kupiga kura ....tulidamka mapema mpaka saa mbili na robo asubuhi tayari tumeshafanya tuliyokubaliana.

Bahati Mbaya sana leo sikuangalia sura maana ningeweza kutoboa macho ya Mgombea nisiyempenda na kura ikaharibika ila niliangalia hii alama hii ✌️ ilipo nikaweka vema.

Mungu atubariki sote tuwe na Uchaguzi wa HAKI na HURU ndipo amani itakapotokea bila kutokwa na mishipa ya shingo kuisizitiza.
 
Nilkuwa wa kwanza kumpa lisu kura kituoni, sina mashaka na kituo
 
Back
Top Bottom