Uchaguzi 2020 Dar es Salaam: Matukio na Matokeo ya Uchaguzi Mkuu 2020 kama yanavyotujia

Kwa Dar

Chadema watashinda
1. Kawe
2. Ubungo
3. Kibamba
4. Ukonga
5. Segerea (sina hakika sana)

Kwingine ni CCM
 
Tuikomboe Dar es salam kutoka kwa matapeli wa siasa Chadema.
 
[emoji3577][emoji3577][emoji3577][emoji3577][emoji3577][emoji3577]
 
Kituo A 2 wananchi wamegoma kupiga kura mpaka mabox yawe na 'seals'
Kituo A 4 , BOXES 527159, wameanza kupiga kura bila hayo mabox kuwa na 'seals'. Sijui zitakuja saa ngapi?

MNAOHUSIKA FUATILIENI!!!
 
Mimi na Ndugu zangu tumetimiza wajibu wetu wa kupiga kura ....tulidamka mapema mpaka saa mbili na robo asubuhi tayari tumeshafanya tuliyokubaliana.

Bahati Mbaya sana leo sikuangalia sura maana ningeweza kutoboa macho ya Mgombea nisiyempenda na kura ikaharibika ila niliangalia hii alama hii ✌️ ilipo nikaweka vema.

Mungu atubariki sote tuwe na Uchaguzi wa HAKI na HURU ndipo amani itakapotokea bila kutokwa na mishipa ya shingo kuisizitiza.
 
Nilkuwa wa kwanza kumpa lisu kura kituoni, sina mashaka na kituo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…