TANZIA Dar es Salaam: Mhadhiri wa Law school wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) Dkt. James Jess afariki dunia

Narudia wewe ni mjinga, mpumbavu, mshenzi na pia una vimelea vya ugaidi na ushetani...huna utu wewe..una elements za unyama au mnyama kwa hakika asiyejua mema na mabaya...
Kuna mwanaccm mwenye UTU?
 
Duu nimesikia Jaji Mstahafu Maina naye amefariki .RIP jamani
 
Pole sana kwa familia. Inasikitisha sana. Huyu alikuwa mpambanaji. Na hata huko kutia Mia lengo lilikuwa kuwatafutia watoto wake mkate na Siagi. Mungu awape faraja familia yake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…