LIKE
JF-Expert Member
- Dec 17, 2013
- 4,755
- 9,889
presha ya madeni
unajikuta umeuza nyumba,umekopa na hata kazi umeacha na pale clinic hautakiwi
matokeo yake hakuna ubunge,hakuna uheshimiwa,hakuna shangingi hakuna totoz za udsm na wala Polepole hapokei simu tena..
ni bill za madeni na kukimbiwa.
BTW haya ni mawazo ya masikini.