Dar es Salaam: Nyumba yapigwa mnada kwa kushindwa kulipa milioni 7

Kama wewe ambavyo unashadadia u-kristo usio sahihi!
U-kristo sahihi watu hawafanyi hivi!
Ss umeelewa, sio Kila anaejiita mchungaji, mkristo ana kanisa ni sahihi wengine wenzio tu km unavyoona huko kwenu!
Kwahiyo usijumuishe
Makani yana mikopo mingi ya riba benki ya mkombozi pale mwenge ilifungwa baada ya kuwaujumu watu hivi vikoba viote tz vimeingilia kanisani kwa jina kupanda mbegu wachungaji kwenye peda husiwatanie bora hafe mtu
 
Fatilia vizuli kwanza kanisa kufanya mikopo ya riba sio kosa hata vikoba viliingia kwa mgogo wa makanisa kutokea kenya kwa jina la kupanda mbegu na wengi waliliwa hasa,ushahidi upi unaothibitisha kuwa wasaudia ndio waasisi wa uisilamu?
 
Hivi kwann mnapenda sana kuhusisha vitu na ngono sasa riba na kulala na mzazi wako vinahusiana vipi kwann isiwe sawa na uhujumu uchumi [emoji3]
Mujumu uchumi yuko na nafuu kuliko riba kama ujui ubaya riba fatilia kilicho mkuta huyu mama baada ya kuzunguka mumewe kwenda kuchukua hela kupitia kwa wachungaji
 
Serikali kazi inayo kila kona wananchi wanatakiwa wapewe elimu [emoji3]
Yaani Mtanzania anaweza akapokea SMS kutoka no ngeni inayosema "ile pesa tuma kwa no hii,na jina litatokea flani" Basi na yeye bila hata kuhakiki anatuma faster, alafu kesho unamkuta police anaomba RB ya kua kuna Mtu kamtapeli kupitia mtandao wa simu, wakati pesa katuma mwenyewe!! Kazi ipo kweli kweli!!!

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
 
Inabidi serikali tena ianze kutoa elimu 😀
 
Sasa hela iliyozidi wamerudishiwa?
Nyumba ya milioni 24 inauzwa kulipa deni la milioni 7.

Mara nyingi huwa wanadhulumiwa kwa sababu kuna ushirika wa maafisa wa haki kwenye hayo mambo
 
Serekali inabidi itumie nguvu kubwa kulinda wananchi wake dhidi ya Wajanja wachache wanaotumia ujinga wa baadhi ya Watanzania kuwaibia kupitia Mikataba kanjanja!!

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
Serika yenyewe hina chukua chake mapema ndio maana viongozi wa waandamizi wote ni matajiri hacha wakina mwamposa nao wachukue chao mapema
 
Wakina mwamposa wako wengi mpaka serikalini wapo
 
Unakopa kwaajiri ya kuanzisha biashara sio kukuza biashara [emoji1787] hayo ndio matokeo yake!
Tena wamewavumilia miaka 3 unalipa rejesho moja?!!
 
Maanake kuna mfanyabiashara anatumia kanisa kibiashara. Basi kanisa linahusika.
Haijalishi mtu akikopa anatakiwa alipe iwe kanisani msikitini au taasisi yoyote ya kifedha.
WAlitegemea wakope wasilipe kwa wakati waachiwe kisa kuna mahusiano na kanisa?
Haifai huo ni utapeli
 
Riba ubaya wake ni sawa na mtu anae Mlala mamake mzazi kwa mujibu wa uisilamu yaani ni dhambi iliopitiliza
Nimeelewa sasa, asante.

Kumbe mnachukia sana hizo mambo. Lakini mi naomba mkalitafakari kidogo isije kuwa hamkuelewa vizuri.

Inawezekana, riba haifai ukimkopesha ndugu yako katika shida zake. Fanya msaidie au akurudishie kiasi kilekile. Riba isiruhusiwe mikopo ya matibabu mfano.

Lakini kwa mkopo usioambatana na shida, mtu anaenda kufanyia kazi ya kumpa faida basi ahakikishe anakukumbuka katika sehemu ya faida yake. Riba iruhusiwe mikopo ya biashara. Kama kesi yetu ilivyo.

Mi sijizimagi data, dhamiri yangu naisikiliza.

Nikiangalia hata katika vitabu vitakatifu, ule mfano wa talanta tuliofundishwa. Ilionekana bora yule mtumwa angepelekaga hela yake kwa wale ma don wawekezaji wanaotoa riba (so riba ni halali) kuliko hivyo alivyoichimbia ardhini. Kwetu bongo ndio kama UTT Amis na hati fungani. Riba ni halali kwa misingi ya biashara. Yaani nikusaidie hela, ufanikiwe faida halafu urudishe ileile tena iloshuka thamani. Ni halali kweli.?
 
Mimi nadhani hii habari ingeletwa kipindi kile "Nyumba inawekwa bond kwa mkopo wa shilingi milioni 7"
 
Serekali inabidi itumie nguvu kubwa kulinda wananchi wake dhidi ya Wajanja wachache wanaotumia ujinga wa baadhi ya Watanzania kuwaibia kupitia Mikataba kanjanja!!

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
Ujinga ndugu yangu dawa yake ni elimu wala sio ulinzi.

Wananchi waelimishwe/wajielimishe. Wakiikataa elimu hautakuwa ujinga utageuka kuwa upumbavu.

Tubebe majukumu, ruchukulie kama ujinga ni kosa la mtu binafsi, na upumbavu ni dhambi kabisa🙅‍♀️
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…