Dar es Salaam nzima haijawahi kutokea Baa yenye sifa na mvuto kama Kwa Macheni

Na hapo macheni,inawekwa taarifa ya habari iliyorekodiwa kuwa ni saa 2kamili kumbe saa SITA usiku ,tukiwa tunakata kiu,we jamaa acha castle baridiii!
Wewe kweli ni mwenyeji mwenzang wa maeneo yale. Sababu umepita mlemle kwenye uzoefu πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…