Dar-Es-Salaam: Obama Umedanganywa!

Dar-Es-Salaam: Obama Umedanganywa!

Mi naona kama unazidi kujidhalilisha tu... Topic nzuri tu umeianzisha mwenyewe kutuelewesha maana ya Dar es Salaam. Ghafla hata haijafika post ya kumi, umeshaibadilisha unaongelea mambo ya foleni za vibiriti wakati wa Nyerere!!! Yanahusiana na topic yako hii?

Zisome post zote utaelewa kwanini nimeandika hivyo, watu hawadandii daladala kwa mbele.
 
A harbor or harbour or haven, is a body of water where ships, boats, and barges can seek shelter from stormy weather, or else are stored for future use. Harbors can be natural or artificial. An artificial harbor has deliberately constructed breakwaters, sea walls, or jettys, or otherwise, they could have been constructed by dredging, and these require maintenance by further periodic dredging. An example of the former kind is at Long Beach Harbor, California, and an example of the latter kind is San Diego Harbor, California, which was, under natural conditions, too shallow for modern merchant ships and warships.

In contrast, a natural harbor is surrounded on several sides by prominences of land. An example of this kind of harbor is San Francisco Bay, California.

Harbors and ports are often confused with each other. A port is a facility for loading and unloading vessels; ports are usually located in harbors.
 
Tatizo lako kuu ni kuwa unaangalia kila kitu katika mtazamo wa kidini; The name Dar es Salaam has nothing to do with your religious beliefs or the Koran, ni lugha tu ya Kiarabu ikiwa na maana ya mahali salama na tulivu kwa vyombo vya majini; na Obama yuko sahihi kabisa kuita Dar es Salaam harbor of peace. Kwa lugha anayozungumza Obama, Harbor, haven, port indicate a shelter for ships, period.

  1. A harbor may be natural, artificially constructed or improved.
  2. A haven is usually a natural harbor that can be utilized by ships as a place of safety.
  3. A port is a harbor viewed especially in its commercial relations.
Mwaka 1866 Sultani Majid bin Said wa Zanzibar alianza kujenga mji mpya nje kidogo ya mji wa Mzizima (mji wa Afya Njema) na kuamua kuuita Dar es Salaam kwa lugha ya Kiarabu (Bandari ya Salama kwa Kiswahili)...Kiarabu ni lugha tu kama lugha yoyote ile; labda uniambie kwamba haiwezekani kuutofautisha Uislaam na Uarabu.
 
Hivi mleta hii mada alizani watu ni mataheeeh humu ndani yaani......hivi kuna tofauti ya ya 'haven na habour'..........shame on u eti "pepo sijui nyumba ya wapi ulifundushwa hivyo na mwalimu kayumba nn kajipange upya ujeeh na vitu vya kueleweka,,,,
 
Umaskini tulioingizwa wakati wa Nyerere nna uhakika hujaona, wala foleni za wakati huo nna uhakaika hujaziona, umeshakaa foleni ya vibiriti wewe? Leo una foleni za neema na maendeleo za magari, unahaha.

Kuna ufisadi zaidi ya kupoteza watu wasijulikane walipo? Unayajuwa ya Kassim Hanga?

Chukuwa idadi ya wanafunzi woooooooote waliofaulu wakati wa Nyerere, nachukuwa idadi wanafunzi waliofaulu wakati wa Kiwete kwa muhula mmoja, tuwekee hapa, kama hujajiaibisha. Huwezi.

Kwa mara ya kwanza tunaiona Tanzania ikijitegemea yenyewe kwa asilimia zaidi ya 65. Jee, uliwahi kuiona ikijitegemea zaidi ya hivyo? weka ushahidi. Huwezi.

Jina lipi linalokupa shida> Barack Hussein Obama? au Jakaya Mrisho Kikwete? au Zomba? weka wazi. Huwezi!

Kwa kukupa darsa tu, tuko katika masiku ya "Mrisho" huu ndio msimu wake, kabla ya Ramadhan. Jee, unajuwa maana ya Mrisho?

Umeangalia timeframe ya hayo yaliyofanyika na umri halisi wa taifa hili?

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
kilaza...kama bajeti yako ya chakula kwa siku miaka 10 nyuma ilikuwa 2000 na leo ni 10,000 utasema umeendelea kwa kuwa kuna tofauti ya 8,000..? au na wewe ni "mchumi wa daraja la kwanza"?

Nina hakika kuwa hata haujui umemquote nani pia hujui umequote nini.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Bandari pia ni neno la Kiarabu. Kwa hiyo Obama hajakosea. Dar ni kifupi cha bandari. Usituzuge hapa.
 
http://en.m.wikipedia.org/wiki/Dar_es_Salaam
Mkuu wewe ndo umedanganya live hapa kwa kutuletea taarifa isiyofanyiwa jitihada za kupata usahihi. Fungua link hiyo hapo juu usome na uone hakuna tofauti na kwa maana hiyo hajadanganya ila wewe ndo umetudanganya. Uwe makini sana unapoconfine meanings za translated words kutoka lugha nyingine.
 
Mambo ya kondoo wa kolani yashaanza. Iv yle kondoo hapandwi kweli?
 
¤SHORT HISTORY

In the 19th century, Mzizima (Kiswahili for "healthy town") was a coastal fishing village on the periphery of Indian Ocean trade routes.In 1865 or 1866, Sultan Majid bin Said of Zanzibar began building a new city very close to Mzizima and named it Dar es Salaam. The name is commonly translated as "harbor/haven of peace" or "abode/home of peace", based on the Persian/Arabic bandar ("harbor") or the Arabic dar ("house"), and the Arabic es salaam ("of peace"). Dar es Salaam fell into decline after Majid's death in 1870, but was revived in 1887 when the German East Africa Company established a station there. The town's growth was facilitated by its role as the administrative and commercial centre of German East Africa and industrial expansion resulting from the construction of the Central Railway Line in the early 1900s.

German East Africa was captured by the British during World War I and from then on was referred to as Tanganyika. Dar es Salaam was retained as the territory's administrative and commercial centre. Under British indirect rule, separate European (e.g., Oyster Bay) and African (e.g., Kariakoo and Ilala) areas developed at a distance from the city centre. The town's population also included a large number of south Asians..................................
 
Udini wa zoooomba ni ushetani mpya hawa jamaa wanakuwa na mawazo hasi tu kwa kuwaza wao ni bora kwa kufikiri imani yao ni nzuri kuliko wengine, wako radhi kupindisha kila neno. Mungu wao ni mawazo yao, usishindane na mtu muovu. Dar es Salaam nayo ni uislam kwa zomba.
Tena wanasomea kufanya haya ni aina mpya watu
 
Wakti namsikiliza Mheshimiwa mgeni wetu adhyim, Rais wa Muungano wa Mataifa ya Kimerekani (USA), Barack Hussein Obama, nilimsikia alipoitaja Dar Es Salaam, aliitafsiri kuwa ni "Habour of Peace" (labda iwe ung'eng'e ulinipiga chenga). Mheshimiwa kama ulitafsiriwa hivyo, wamekosea watafsiri wako, kama ni wewe mwenyewe, kwani naelewa kuwa unakijuwa Kiswahili kwa kiasi fulani, basi umekosea.

Maana halisi ya Dar Es Salaam, ni ngumu sana kuitafsiri ikiwa huupendi Uislaam na umeaminishwa na wabaguzi wa ujinga, kwani Dar Es Salaam inapatikana ndani ya Qur'an ikimaanisha ni moja kati ya pepo au kwa maulamaa wengine, moja kati ya milango ya kuingilia peponi "Baab Dar as Salaam", kwa maana moja au nyingine inamaanisha "haven of Peace" au "Nyumba" ya amani au kwa maana halisi "Pepo" ya amani.

Aliyekufunda kuwa Dar Es Salaam ni "Habour of Peace" hakukutendea haki wewe wala hakututendea haki sisi wa Dar Es Salaam.

Kwa kusherehesha; Dar Es Salaam si jina geni kwa miji ya duniani na haikuanzia hapa kwetu, kuna nchi nyingi ambazo zina majina ya majiji au miji iitwayo hivyo kwa lafdhi tofauti, maarufu ni Jerusalem, ina maanisha hivyo-hivyo. Nyingine ni Daussalaam, iliyopo Brunei, Ni hiyo hiyo, kama yetu tu.

Mnhhh mnhhh!

Karibu mgeni wetu.
Hatukushangai,kwani mtu yeyote aliyefilisika kisiasa lazima atatumbukiza udini na ukabila,ili ajikweze kisiasa.

It seems you are among those pambafu creatures!

Hivi kwa jinsi hili linchi letu lilivyo Taifa la kipolisi,kwa namna ya haki za kibinadamu zinavyovunjwa kila kukicha,unadiriki kumpa credit JK,kisa muuislam mwenzio!

Kumbuka nukuu ya moja ya hotuba za hekima sana za baba wa Taifa,aliposema,mtu aliyefilisika kisiasa,anaweza kudiriki kusema kuwa,ingawa mgombea huyu hana sifa zozote za kuwa kiongozi bora,lakini mimi nitamchagua,kwa kuwa tu tuna dini moja!

Lazima wewe kwa jinsi ulivyoiwekahii post,utakuwa mdini wa kupitiliza!!
 
Mi naona kama unazidi kujidhalilisha tu... Topic nzuri tu umeianzisha mwenyewe kutuelewesha maana ya Dar es Salaam. Ghafla hata haijafika post ya kumi, umeshaibadilisha unaongelea mambo ya foleni za vibiriti wakati wa Nyerere!!! Yanahusiana na topic yako hii?

kaeleza vizuri kwa kweli. sema tu kuna kajazba kwa mbaali lakini ana pointi nilivooa mimi.
 
Wakti namsikiliza Mheshimiwa mgeni wetu adhyim, Rais wa Muungano wa Mataifa ya Kimerekani (USA), Barack Hussein Obama, nilimsikia alipoitaja Dar Es Salaam, aliitafsiri kuwa ni "Habour of Peace" (labda iwe ung'eng'e ulinipiga chenga). Mheshimiwa kama ulitafsiriwa hivyo, wamekosea watafsiri wako, kama ni wewe mwenyewe, kwani naelewa kuwa unakijuwa Kiswahili kwa kiasi fulani, basi umekosea.

Maana halisi ya Dar Es Salaam, ni ngumu sana kuitafsiri ikiwa huupendi Uislaam na umeaminishwa na wabaguzi wa ujinga, kwani Dar Es Salaam inapatikana ndani ya Qur'an ikimaanisha ni moja kati ya pepo au kwa maulamaa wengine, moja kati ya milango ya kuingilia peponi "Baab Dar as Salaam", kwa maana moja au nyingine inamaanisha "haven of Peace" au "Nyumba" ya amani au kwa maana halisi "Pepo" ya amani.

Aliyekufunda kuwa Dar Es Salaam ni "Habour of Peace" hakukutendea haki wewe wala hakututendea haki sisi wa Dar Es Salaam.

Kwa kusherehesha; Dar Es Salaam si jina geni kwa miji ya duniani na haikuanzia hapa kwetu, kuna nchi nyingi ambazo zina majina ya majiji au miji iitwayo hivyo kwa lafdhi tofauti, maarufu ni Jerusalem, ina maanisha hivyo-hivyo. Nyingine ni Daussalaam, iliyopo Brunei, Ni hiyo hiyo, kama yetu tu.

Mnhhh mnhhh!

Karibu mgeni wetu.

Mji wa kwenye Quran umejaa makahaba kinondoni buguruni n.k! Haya twambie umeitoa suratul gani hii al anaam?
 
mimi muislamu.......bado maana ni ile ile tu.....nyumba, pepo...bandari...yote ni ku-accomodate bandari (harbor) sometime pia inaweza kutumika kama pumziko la wakimbizi

so hamna tatizo kwa tafsiri ile

btw unamsubiri obama aseme pale ndio uibuke na hili?? mbona kila siku na millions of vitabu vimeandika hivyo??

shame on u
 
Back
Top Bottom