zomba
JF-Expert Member
- Nov 27, 2007
- 17,240
- 3,930
- Thread starter
- #61
zomba hamna kitu kabisa.hv unawezaje kumfananisha mtu aliyeachiwa injinia 1 na madaktari 2 na huyu jamaa?jk mwenyewe
ni tunda la nyerere.walisoma kwa mkonge na pamba.huyu wa sasa hv ana kila kitu.acha upuuzi na upambe ww
Aliachiwa na nani? nae aliongeza nini?
JMK kwa wakati wake, vyuo vikuu vipya zaidi ya 10, kimoja ni kikubwa Afrika Mashariki na ya kati na hakijaisha, kikiisha kuna uwezekano mkubwa kikawa ni chuo kikuu kikubwa katika Afrika.
Wakati wa Nyerere tulikuwa kwenye "acute privation". Katafute "dictionary" uelewe namaanisha nini.