Mi naona kama unazidi kujidhalilisha tu... Topic nzuri tu umeianzisha mwenyewe kutuelewesha maana ya Dar es Salaam. Ghafla hata haijafika post ya kumi, umeshaibadilisha unaongelea mambo ya foleni za vibiriti wakati wa Nyerere!!! Yanahusiana na topic yako hii?
Zisome post zote utaelewa kwanini nimeandika hivyo, watu hawadandii daladala kwa mbele.
Umaskini tulioingizwa wakati wa Nyerere nna uhakika hujaona, wala foleni za wakati huo nna uhakaika hujaziona, umeshakaa foleni ya vibiriti wewe? Leo una foleni za neema na maendeleo za magari, unahaha.
Kuna ufisadi zaidi ya kupoteza watu wasijulikane walipo? Unayajuwa ya Kassim Hanga?
Chukuwa idadi ya wanafunzi woooooooote waliofaulu wakati wa Nyerere, nachukuwa idadi wanafunzi waliofaulu wakati wa Kiwete kwa muhula mmoja, tuwekee hapa, kama hujajiaibisha. Huwezi.
Kwa mara ya kwanza tunaiona Tanzania ikijitegemea yenyewe kwa asilimia zaidi ya 65. Jee, uliwahi kuiona ikijitegemea zaidi ya hivyo? weka ushahidi. Huwezi.
Jina lipi linalokupa shida> Barack Hussein Obama? au Jakaya Mrisho Kikwete? au Zomba? weka wazi. Huwezi!
Kwa kukupa darsa tu, tuko katika masiku ya "Mrisho" huu ndio msimu wake, kabla ya Ramadhan. Jee, unajuwa maana ya Mrisho?
kilaza...kama bajeti yako ya chakula kwa siku miaka 10 nyuma ilikuwa 2000 na leo ni 10,000 utasema umeendelea kwa kuwa kuna tofauti ya 8,000..? au na wewe ni "mchumi wa daraja la kwanza"?
Huu ujumbe si umemwandikia Obama???? Atakuelewa? Sasa si ungeandika kiingereza? Au hakipandi?!!!
Hatukushangai,kwani mtu yeyote aliyefilisika kisiasa lazima atatumbukiza udini na ukabila,ili ajikweze kisiasa.Wakti namsikiliza Mheshimiwa mgeni wetu adhyim, Rais wa Muungano wa Mataifa ya Kimerekani (USA), Barack Hussein Obama, nilimsikia alipoitaja Dar Es Salaam, aliitafsiri kuwa ni "Habour of Peace" (labda iwe ung'eng'e ulinipiga chenga). Mheshimiwa kama ulitafsiriwa hivyo, wamekosea watafsiri wako, kama ni wewe mwenyewe, kwani naelewa kuwa unakijuwa Kiswahili kwa kiasi fulani, basi umekosea.
Maana halisi ya Dar Es Salaam, ni ngumu sana kuitafsiri ikiwa huupendi Uislaam na umeaminishwa na wabaguzi wa ujinga, kwani Dar Es Salaam inapatikana ndani ya Qur'an ikimaanisha ni moja kati ya pepo au kwa maulamaa wengine, moja kati ya milango ya kuingilia peponi "Baab Dar as Salaam", kwa maana moja au nyingine inamaanisha "haven of Peace" au "Nyumba" ya amani au kwa maana halisi "Pepo" ya amani.
Aliyekufunda kuwa Dar Es Salaam ni "Habour of Peace" hakukutendea haki wewe wala hakututendea haki sisi wa Dar Es Salaam.
Kwa kusherehesha; Dar Es Salaam si jina geni kwa miji ya duniani na haikuanzia hapa kwetu, kuna nchi nyingi ambazo zina majina ya majiji au miji iitwayo hivyo kwa lafdhi tofauti, maarufu ni Jerusalem, ina maanisha hivyo-hivyo. Nyingine ni Daussalaam, iliyopo Brunei, Ni hiyo hiyo, kama yetu tu.
Mnhhh mnhhh!
Karibu mgeni wetu.
Mi naona kama unazidi kujidhalilisha tu... Topic nzuri tu umeianzisha mwenyewe kutuelewesha maana ya Dar es Salaam. Ghafla hata haijafika post ya kumi, umeshaibadilisha unaongelea mambo ya foleni za vibiriti wakati wa Nyerere!!! Yanahusiana na topic yako hii?
Wakti namsikiliza Mheshimiwa mgeni wetu adhyim, Rais wa Muungano wa Mataifa ya Kimerekani (USA), Barack Hussein Obama, nilimsikia alipoitaja Dar Es Salaam, aliitafsiri kuwa ni "Habour of Peace" (labda iwe ung'eng'e ulinipiga chenga). Mheshimiwa kama ulitafsiriwa hivyo, wamekosea watafsiri wako, kama ni wewe mwenyewe, kwani naelewa kuwa unakijuwa Kiswahili kwa kiasi fulani, basi umekosea.