Dar-Es-Salaam: Obama Umedanganywa!

Tatizo naona mtoa mada ni Almaamuma! hawezi kutofautisha kiarabu na uislamu.Hajui kuwa kiarabu ni lugha na kilikuwapo hata kabla ya uislamu kufikiriwa kuwepo.Hajui kuwa hata hicho kitabu anachokisemea kiliandikwa lini na kwa jinsi gani.Yamkini hajui hata kilichizisibu nakala zake halisi za kale zimefikwa na madhira gani. Sijui kama anajua hata ile hadithi inayoonesha uchina kuwa ni kitovu cha elimu wakati wa mtume na si arabuni au ulaya. Labda pia ana usubi hata kwa mambo ya kisiasa na kijamii ya Tanzania kwani utofautishaji wake wa awamu za uongozi wa nchiunatia shaka. Nyerere na Kikwete kamwe hawatalingana hata kwa namna ya kuwaza kwao tu. Namshauri mtoa mada asisumbuke na suala la udini kwani si issue kwa sasa,burning issue ni uchumi wetu unavyokua kwa wageni(wawekezaji) na kushuka kwetu kila mara chini ya uongozi thabiti wa chama cha mapinduzi. Mgeni wetu anaitwa Barack Hussein Obama hivyo labda ni mwislamu au wazazi wake, lakini haituhusu.
 
Mada nyingine bwana! huu ni utupu
 
Uislaam ni "global", Qur'an imeandikwa kiarabu, lugha kubwa kuliko zote uzijuazo.

Jee, unajuwa kuwa hata Kiswahili unachotumia asilimia kubwa ya maneno yake yametokana na Kiarabu? jiulize kwa nini?

Mama hongera wewe ni Mwarabu, Barack Obama naye Mwarabu! Mamamako!
 
Anzisha uzi mwingine na hii. Haihusiani na uzi wako wa awali. UMEOZA KWA UDINI pa kukufukia hatuna tutapoteza ardhi bure
 
Hivi "Arabuni" ni wapi na palianza lini?
 
Uislaam ni "global", Qur'an imeandikwa kiarabu, lugha kubwa kuliko zote uzijuazo.

Jee, unajuwa kuwa hata Kiswahili unachotumia asilimia kubwa ya maneno yake yametokana na Kiarabu? jiulize kwa nini?

SWALI LA KIZUSHI please naomba msaada nipate kujua. Hivi Kurhan imendikwa kiarabu ee..? Kama ni kweli basi nilidanganywa...
 
Anzisha uzi mwingine na hii. Haihusiani na uzi wako wa awali. UMEOZA KWA UDINI pa kukufukia hatuna tutapoteza ardhi bure

Udini ndio nini?

Usinitukuze kiasi hicho, ni dhambi kubwa sana.
 
SWALI LA KIZUSHI please naomba msaada nipate kujua. Hivi Kurhan imendikwa kiarabu ee..? Kama ni kweli basi nilidanganywa...

Imeandikwa Kijaluo.
 
Malizia kuwa pilau ni chakula mahsusi kwa waislamu
Kilivumbuliwa na maswahiba makafiri hawapaswi kula
 
Mji wa kwenye Quran umejaa makahaba kinondoni buguruni n.k! Haya twambie umeitoa suratul gani hii al anaam?

Hata Adam na Hawa walianzia upuuzi wao peponi au huijui maana ya "dhambi ya asili"?
 
hahahaha labda anasubir mkaliman amtafsirie tena rais obama vibaya.

Kasome vizuri post #1 , usitake nianzishe darsa la kuwatafsiria lugha yenu ya Taifa.
 
Mod aifungue ile "Dar es Salaam" au aiunganishe na hii ktk ban?
Vp ile ya Faizafoxy? nayo je?
 
zomba hamna kitu kabisa.hv unawezaje kumfananisha mtu aliyeachiwa injinia 1 na madaktari 2 na huyu jamaa?jk mwenyewe
ni tunda la nyerere.walisoma kwa mkonge na pamba.huyu wa sasa hv ana kila kitu.acha upuuzi na upambe ww
 
Malizia kuwa pilau ni chakula mahsusi kwa waislamu
Kilivumbuliwa na maswahiba makafiri hawapaswi kula

Zanzibar, ndio maana vikaitwa visiwa vya viungo, umeshakunywa chai ya karafuu?
 
Tendo la ndoa si dhambi ya asili. Sijaona connection kati ya uislamu na hilo jina. Ama unataka kutuaminisha kuwa uislamu ni uarabu? Manake kama na Jerusalem nayo ina maana hiyo, nilidhani ni lugha tu?
Hata Adam na Hawa walianzia upuuzi wao peponi au huijui maana ya "dhambi ya asili"?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…