Dar-Es-Salaam: Obama Umedanganywa!

Huyu jamaa mwenye hii mada anafaa kuondoa "M" kwenye jina lake ili aendane na jinsi anavyo fikiri na jina lake litaendana sawasawa na upeo wake yani namaanisha "ZOMBA" atoe "M" ibaki ZOBA.
 
Hivi kweli tafsiri ya neno dar es salaam inawafanya mtoleano mimacho na kuandikiana kashfa? yaani mnataka kuchoma moto kila kitu humu? lol. hebu fikirieni upya!

Ukweli siku zote unauma.
 
Kutoe hizi pumba zako msikitini sio hapa. Hapa tunajadili mambo ya maana na kama unataka kutoa mhadhara sio mahali pake
 
Huyu jamaa mwenye hii mada anafaa kuondoa "M" kwenye jina lake ili aendane na jinsi anavyo fikiri na jina lake litaendana sawasawa na upeo wake yani namaanisha "ZOMBA" atoe "M" ibaki ZOBA.

Si wa kwanza kushauri hivyo. Si tatizo langu, ni ufikiri wako tu hauja-panuka.
 
Kutoe hizi pumba zako msikitini sio hapa. Hapa tunajadili mambo ya maana na kama unataka kutoa mhadhara sio mahali pake

Ulimaanisha nini hapo nilipo kuwekea nyekundu.
 
Humu JF kuna vichwa vya kila aina aisee
Na ni vyema kwa kuwa hatukutani uso kwa uso, ni maneno tuu.
 
Kiswahili cha wapi hicho? aliyetafsiri hapo ana matatizo kama aliyemtafsiria Obama, Mzizima haimaanishi hivyo atakavyo, na amejitahidi sana kutafsiri Dar Es Salaam kwa njia tofauti mwishowe anajaribu kutaka kutuaminisha ni "habour" inatokana na Kifarsi (Persia), halafu anajisuta mwenyewe kumuelezea Sultan Majid, Jee Sultan Majid alikuwa muajemi? kama jibu ni hapana, basi hatuna budi ila tutumie lugha yake, tunapata maana ipi? Jibu unalo.
 
Huyu jamaa mwenye hii mada anafaa kuondoa "M" kwenye jina lake ili aendane na jinsi anavyo fikiri na jina lake litaendana sawasawa na upeo wake yani namaanisha "ZOMBA" atoe "M" ibaki ZOBA.

Ndivyo alivyo alikosea tu siku anajiandikisha, akaweka M kati na ku edit hajui!
 
Mkuu nakushangaa sana, em kapitie dictionary yako vizuri au hujui neno "harbour" unaweza ukatumia kama "haven" vile vile?? Harbour of Peace na Haven of Peace na Nyumba ya amani ni kitu kile kile.. au we hapo ulielewa vipi??
Em kapitie dictionary vizuri basi alafu utarudi tena, na note kua inaandikwa "harbour" ama "harbor" British n American respectively, hiyo "Habour" yako ni Programming language sio neno la kiingereza. Kwa hiyo jamaa alikua sana kabisa
 
Kwani wakati wa Nyerere watanzania walikuwa wangapi na sasa hivi watz ni wangapi? Unafanya comparison gani?? Wale walisoma bure, wa sasa wanakopeshwa tena kwa mbinde ukiwa mwalimu poa, ukiwa Economist imekula kwako.....
 
Hapa NYERERE kaingiaje????? ndo maana wewe tunasema ni MDINI,Inaonekaa umemuigiza Nyerere kwa sababu ya DINI YAKE
Jee, unajuwa kuwa ukoo wa Nyerere una "matatizo ya kiafya/kiakili" ya ukoo? Kama hujui muulize Andrew Nyerere.

Jee, "udini" ndio nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…