Mkuu nakushangaa sana, em kapitie dictionary yako vizuri au hujui neno "harbour" unaweza ukatumia kama "haven" vile vile?? Harbour of Peace na Haven of Peace na Nyumba ya amani ni kitu kile kile.. au we hapo ulielewa vipi??
Em kapitie dictionary vizuri basi alafu utarudi tena, na note kua inaandikwa "harbour" ama "harbor" British n American respectively, hiyo "Habour" yako ni Programming language sio neno la kiingereza. Kwa hiyo jamaa alikua sana kabisa
Huwa sikisii.
Udini ni hiyo hali inayokukabili. I once declared that I can't reason with you zomba! That hasn't changed.Jee, unajuwa kuwa ukoo wa Nyerere una "matatizo ya kiafya/kiakili" ya ukoo? Kama hujui muulize Andrew Nyerere.
Jee, "udini" ndio nini?
Uislaam ni "global", Qur'an imeandikwa kiarabu, lugha kubwa kuliko zote uzijuazo.
Jee, unajuwa kuwa hata Kiswahili unachotumia asilimia kubwa ya maneno yake yametokana na Kiarabu? jiulize kwa nini?
Wakti namsikiliza Mheshimiwa mgeni wetu adhyim, Rais wa Muungano wa Mataifa ya Kimerekani (USA), Barack Hussein Obama, nilimsikia alipoitaja Dar Es Salaam, aliitafsiri kuwa ni "Habour of Peace" (labda iwe ung'eng'e ulinipiga chenga). Mheshimiwa kama ulitafsiriwa hivyo, wamekosea watafsiri wako, kama ni wewe mwenyewe, kwani naelewa kuwa unakijuwa Kiswahili kwa kiasi fulani, basi umekosea.
Maana halisi ya Dar Es Salaam, ni ngumu sana kuitafsiri ikiwa huupendi Uislaam na umeaminishwa na wabaguzi wa ujinga, kwani Dar Es Salaam inapatikana ndani ya Qur'an ikimaanisha ni moja kati ya pepo au kwa maulamaa wengine, moja kati ya milango ya kuingilia peponi "Baab Dar as Salaam", kwa maana moja au nyingine inamaanisha "haven of Peace" au "Nyumba" ya amani au kwa maana halisi "Pepo" ya amani.
Aliyekufunda kuwa Dar Es Salaam ni "Habour of Peace" hakukutendea haki wewe wala hakututendea haki sisi wa Dar Es Salaam.
Kwa kusherehesha; Dar Es Salaam si jina geni kwa miji ya duniani na haikuanzia hapa kwetu, kuna nchi nyingi ambazo zina majina ya majiji au miji iitwayo hivyo kwa lafdhi tofauti, maarufu ni Jerusalem, ina maanisha hivyo-hivyo. Nyingine ni Darussalaam, iliyopo Brunei, Ni hiyo hiyo, kama yetu tu.
Mnhhh mnhhh!
Karibu mgeni wetu.
Sasa unalazimisha tufuate maana ya Qur'an kwenye jina la mji? kwani lazima?Bandari. Ukiikubali maana hiyo ina maana unakataa kuwa Dar Es Salaam si Kiarabu. Wakati aliyetoa jina hilo ni Mwaarabu. Na nnakuhakikishia Mwaarabu hatoi jina hilo ila anai"quote" Qur'an na Qur'an haikumaanisha "bandari...".