Smatta
JF-Expert Member
- Nov 5, 2008
- 2,348
- 733
nimependa comment yako na inaonesha kweli umezeeka maana league kama hizi ulikuwa unazipenda sana but all in all hii ndo imelifikisha jukwaa la kenya lilipofika
kiukweli kila kitu kina madhara na faida zake na hii inategemea mtazamo binafsi...kupitia jukwaa hili nimeijua Kenya na watu wake pamoja na fursa zilizopo huko ingawa nimeshakutana na wakenya kadhaa kabla hata sijaijua jf , imenisaidia pia kuijua Tanzania kwa uzuri wake na pia ubaya wake na ni kipi tufanye ili tuvuke tulipo ...
i have learnt a lot nd i can never hate a person simply coz of things i read here maana sometimes people do it for fun nd you cant take it serious ... kingine watanzania na wakenya tupo karibu zaidi ndio maana tunapata points za argument na hili utaliona Uganda forum maana limepoa ...
I like diversity nd i think this is one of the best forum in jf that embrace it ..EAC FOR LIFE
shukran bro, ligi lazima zitakwepo lakini tusipoteze dira ya tunapoelekea na tunapoweza fika tukishirikiana na kuonyesha njia kwa wale ambao wamekuja baada yetu. Viva East Africa.