Lakini we unakuwa mtu wa kukurupuka na kuonyesha ujinga uliokidhiri! Nikiweka hiyo picha inamaana ni beach? Hiyo kuonyesha tu nina uhakika wa kufika Dar, Hata huelewi! Taaban!!! Kibera we make innovations that change the WORLD!
I am just about to launch my Education app, the first ever in Africa that is gonna revolutionize the education sector, Mwezi wa nne naileta Dar International Academy mwaka ukiisha itakuwa imefika South Africa InshaAllah!!!
Visit
www.someshaapps.com for more information!! Nikija Dar nitakuita nikufunze kujudge watu!!
Counting!!!