Dar es Salaam vs Nairobi Drone view

Dar es Salaam vs Nairobi Drone view

. .binafc mi m tz ila ktk ukweli tuseme ukweli.. tusiegemee kwny uzalendo hatavile mkifanya pumba the left tujipgie makofi never..
 
Sikiza..vile ukikosea just find how to solve't,sio unataka uendelee kusonga while hujajua kosa iko wapi.
 
Sasa leo wenZetu wako na plane ya trein ya umeme bongo Je??? flyover zimewashnda,mnabakia kuleta kwa serikali yetu.
 
Jiji la Nairobi liko katika ligi ya ukwasi na ulimbwende wa hali ya juu,sijui vipi wana Dar hupenda chukizo na kukurukakara za hapa kule.
Nairobi imejengeka na mji huo kwa sasa unajengwa usiku na mchana especially Upper hill,ni construction zone ingine noma sana ukanda huu.
 
SAM NUJOMA RAOD DAR ES SALAAM

5401491256_6da0d2bc70_b.jpg

http://i1213.photobucket.com/albums/cc475/xiaohan1/5401491256_6da0d2bc70_b.jpg
 
Nairobi ijipange kwa dar maana dar inakua kwa kasi ya ajabu
 
Ndinda, Barabara nzuri kweli, safi sana, kama hiyo ndio twapenda, hapa Nairobi we value open spaces very much, umesikia jamaa Nairobi wanazusha juu ya ujenzi wa jumba ghorofa 60 ambalo linaweza kuziba juu kwenye Uhuru park, yaani spaces mean a lot to us!!
Kuna mda unaongea points sana
 
Ndinda, Barabara nzuri kweli, safi sana, kama hiyo ndio twapenda, hapa Nairobi we value open spaces very much, umesikia jamaa Nairobi wanazusha juu ya ujenzi wa jumba ghorofa 60 ambalo linaweza kuziba juu kwenye Uhuru park, yaani spaces mean a lot to us!!
Nimesikia mkuu. Open spaces katika urban area yoyote ni muhimu. Ndio zainacreate uhai wa jiji.
 
Na vipi hakuna mtu amewahi post picha ya hii barabara?? Tumezoea ile iliyo na BRT!! Kwani hii inaenda sambamba na Mombasa road. Nimeipenda hiyo!
 
DAR Ina barabara muhimu kadhaa mfano Nyerere road, Mandela Expressway, Al Hassan mwinyi Road Bagamoyo road na Kilwa road ukiacha hizo zenye BRT ambazo ni MOROGORO, KAWAWA , MSIMBAZI NA KIVUKONI, Labda tu hamna picha nzuri.

AL HASSAN MWINYI ROAD
The view from Mzizima towers by indaressalaam, on Flickr

DOWNTOWN by indaressalaam, on Flickr

The view from Golden Tulip Hotel Downtown by indaressalaam, on Flickr

BIBI TITI MOHAMED ROAD

DSC_4991 by indaressalaam, on Flickr

From city mall rooftop by indaressalaam, on Flickr

TO KIGAMBONI BRIDGE

DSC_6786 by indaressalaam, on Flickr

Nyerere Bridge by indaressalaam, on Flickr

BAGAMOYO ROAD

https://4.bp.blogspot.com/-gN06GKKudzQ/VCvflaIqlHI/AAAAAAAGm94/kIZxcBLbWE8/s1600/0L7C2180.jpg

0L7C2180.jpg

http://3.bp.blogspot.com/-caD_WApkKHA/VCwLH-Dk-aI/AAAAAAAAKHw/uz2ezfZmI3U/s1600/IMG_8266.JPG

http://3.bp.blogspot.com/-caD_WApkKHA/VCwLH-Dk-aI/AAAAAAAAKHw/uz2ezfZmI3U/s1600/IMG_8266.JPG[/IMG]

KURASINI INTERCHANGE

Capture%201_zpspzpkhzmf.png

Source:PICHA: Kurasini Road Intersection (Flyover) kuelekea Mwl. Nyerere Bridge, Kigamboni
 
big up to dar...kweli east Africa is on the rise.how I wish kampala nayo ingejitutumua inavyostahili
 
Back
Top Bottom