Dar es Salaam vs Nairobi Drone view

Dar es Salaam vs Nairobi Drone view

rKGhi.jpg

5553361201_bd0c81c594_b.jpg
 
Hmm! Kwani lazima useme kama hauna la Kusema? nini huunda mji? Bila barabara nzuri kuna Mji, ama dar hakuna barbara sa unadhani miji huwa haina barabara??
Mbona hueleweki?
Mji wowote mzuri lazima mwanzo uwena barabara nzuri! Na ndio hizo za Nairobi!

Zingine zaja, project nne za barabara kama hizo!

Cbs2Cu8h.jpg

Umeiangalia Hiyo Video.... Ni sawa na Kwenda kupiga Picha Nyerere Bridge ukasema Dar Nzima Ipo Hivyo

Ndo jamaa Alichofanya hapo.. kaonyesha Fly Over za Nairobi
 
Umeiangalia Hiyo Video.... Ni sawa na Kwenda kupiga Picha Nyerere Bridge ukasema Dar Nzima Ipo Hivyo

Ndo jamaa Alichofanya hapo.. kaonyesha Fly Over za Nairobi
Ulitaka tupige nini picha mjini? Miti?? We usiangaike na za kwangu! We weka za kwako! You want to choke over my videos, dissaprove with yours! Here it is about Video and picture sio domodomo zako hizo! Ama zipeleke politics
 
Nairobiii
29dcb49746a68f4507df957c406bbbd7.jpg

Nairobi ya wapi hiyo?? Nairobi ninayo ijua Barabara ni hivi
C5wnozuVAAAJDMr.jpg
C5wnodMU8AYgdRH.jpg
C5zrkVZXQAAcLhu.jpg
C5zdnKmUYAIQYRr.jpg
C50UQdxWYAEfiD5.jpg
C53nEKiWMAASm_u.jpg
C50TRW0WYAAIVFQ.jpg
C53nDu2WMAAaybj.jpg

Wacha nikupe video, kama unabundles najua kule Bongo ni shida, uangalie hadi mwisho, uone jiji, utoe hayo mawazo ya kudhani Nairobi ni kama Dar.

Hii toka Westlands Suburbs to Thika Highway
 
Nairobi ya wapi hiyo?? Nairobi ninayo ijua Barabara ni hivi
View attachment 476047 View attachment 476048 View attachment 476049 View attachment 476050 View attachment 476051 View attachment 476052 View attachment 476053 View attachment 476054

Wacha nikupe video, kama unabundles najua kule Bongo ni shida, uangalie hadi mwisho, uone jiji, utoe hayo mawazo ya kudhani Nairobi ni kama Dar.

Hii toka Westlands Suburbs to Thika Highway

Nmeiona video,sasa Ndio nagundua kumbe nairobi pakoje,sehemu kumepoa kama watu walihama barabara imejaa matatu....iyo highway iko poa lakini mji haujachangamka kabisa...uko kwafaa wazee
 
Nmeiona video,sasa Ndio nagundua kumbe nairobi pakoje,sehemu kumepoa kama watu walihama barabara imejaa matatu....iyo highway iko poa lakini mji haujachangamka kabisa...uko kwafaa wazee

Hhhhhhhh!! Man, eti kwafaa wazee??? Mji uko poa tuusan, utulivu ndio unahitajika, sehemu za masoko wapo watu, tena wengi sana
 
Dady wala usisumbuke na Wabongo jpo binafc yngu japo nami ni m'tz huwa hatuna hoja..never huwez compare roads za Nairob to Dar.. Ukweli utabaki kua there Nairob wanajitmbua bwana.
 
Dady wala usisumbuke na Wabongo jpo binafc yngu japo nami ni m'tz huwa hatuna hoja..never huwez compare roads za Nairob to Dar.. Ukweli utabaki kua there Nairob wanajitmbua bwana.
Wewe ndo hujitambui
 
Back
Top Bottom