Acha kulinganisha dar na upuuziHahahaha... Thankyou. Annael is finally dancing to my new release..... Arusha inatoshana Kapsabet. Dar linganisha na Mombasa. Achana na jokes za viccm hapa. Ng'ombe hii
Lakini we unakuwa mtu wa kukurupuka na kuonyesha ujinga uliokidhiri! Nikiweka hiyo picha inamaana ni beach? Hiyo kuonyesha tu nina uhakika wa kufika Dar, Hata huelewi! Taaban!!! Kibera we make innovations that change the WORLD!Acha kulinganisha dar na upuuzi
Watu wa Kibera tunainnovateAcha kulinganisha dar na upuuzi
Dah ! Kazi kwelikweli ngoja ninyamaze tu muhudum naomba Kilimanjaro ya baridi[emoji482]Lakini we unakuwa mtu wa kukurupuka na kuonyesha ujinga uliokidhiri! Nikiweka hiyo picha inamaana ni beach? Hiyo kuonyesha tu nina uhakika wa kufika Dar, Hata huelewi! Taaban!!! Kibera we make innovations that change the WORLD!
I am just about to launch my Education app, the first ever in Africa that is gonna revolutionize the education sector, Mwezi wa nne naileta Dar International Academy mwaka ukiisha itakuwa imefika South Africa InshaAllah!!!
Visit www.someshaapps.com for more information!! Nikija Dar nitakuita nikufunze kujudge watu!!
Counting!!!
Lakini we unakuwa mtu wa kukurupuka na kuonyesha ujinga uliokidhiri! Nikiweka hiyo picha inamaana ni beach? Hiyo kuonyesha tu nina uhakika wa kufika Dar, Hata huelewi! Taaban!!! Kibera we make innovations that change the WORLD!
I am just about to launch my Education app, the first ever in Africa that is gonna revolutionize the education sector, Mwezi wa nne naileta Dar International Academy mwaka ukiisha itakuwa imefika South Africa InshaAllah!!!
Visit www.someshaapps.com for more information!! Nikija Dar nitakuita nikufunze kujudge watu!!
Counting!!!
Acha kulinganisha dar na upuuzi
Nilijua tu hukubali kushindwa,bora video ile kuliko hii ulioleta haina chochote zaidi ya kupigwa usiku na hizo flyover ambazo dar zimeanza kujengwa.Hao hawajaipata Nairobi vizuri, yaani hauwezi ukadharilisha Nairobi kwa kuilinganisha na Dar, labda Mombasa ndio level ya Dar. Cheki hii video ndio upate muziki wa Nairobi
Forest RoadNilijua tu hukubali kushindwa,bora video ile kuliko hii ulioleta haina chochote zaidi ya kupigwa usiku na hizo flyover ambazo dar zimeanza kujengwa.
Hebu tupia za westlands na Ngong hills kwa sasa,niliwahi kukaa kule zamani ni sehemu murua sana zilikuwa
Ndio dar ni kaburi ambalo ndani yake amezikwa NairobiDar ni Kabul wewe
Ndio dar ni kaburi ambalo ndani yake amezikwa Nairobi
We hiyo Video inaonyesha Barabara badala ya Mji..Hao hawajaipata Nairobi vizuri, yaani hauwezi ukadharilisha Nairobi kwa kuilinganisha na Dar, labda Mombasa ndio level ya Dar. Cheki hii video ndio upate muziki wa Nairobi
Hmm! Kwani lazima useme kama hauna la Kusema? nini huunda mji? Bila barabara nzuri kuna Mji, ama dar hakuna barbara sa unadhani miji huwa haina barabara??We hiyo Video inaonyesha Barabara badala ya Mji..