Dar es Salaam vs Nairobi Drone view

Umeiangalia Hiyo Video.... Ni sawa na Kwenda kupiga Picha Nyerere Bridge ukasema Dar Nzima Ipo Hivyo

Ndo jamaa Alichofanya hapo.. kaonyesha Fly Over za Nairobi
 
Umeiangalia Hiyo Video.... Ni sawa na Kwenda kupiga Picha Nyerere Bridge ukasema Dar Nzima Ipo Hivyo

Ndo jamaa Alichofanya hapo.. kaonyesha Fly Over za Nairobi
Ulitaka tupige nini picha mjini? Miti?? We usiangaike na za kwangu! We weka za kwako! You want to choke over my videos, dissaprove with yours! Here it is about Video and picture sio domodomo zako hizo! Ama zipeleke politics
 
Nairobi mji mkuu umenawiri kimjengo pia barabara tu seme tuko ligi so mko ligi ndogo
 
Nairobiii

Nairobi ya wapi hiyo?? Nairobi ninayo ijua Barabara ni hivi

Wacha nikupe video, kama unabundles najua kule Bongo ni shida, uangalie hadi mwisho, uone jiji, utoe hayo mawazo ya kudhani Nairobi ni kama Dar.

Hii toka Westlands Suburbs to Thika Highway
 
Nmeiona video,sasa Ndio nagundua kumbe nairobi pakoje,sehemu kumepoa kama watu walihama barabara imejaa matatu....iyo highway iko poa lakini mji haujachangamka kabisa...uko kwafaa wazee
 
Nmeiona video,sasa Ndio nagundua kumbe nairobi pakoje,sehemu kumepoa kama watu walihama barabara imejaa matatu....iyo highway iko poa lakini mji haujachangamka kabisa...uko kwafaa wazee

Hhhhhhhh!! Man, eti kwafaa wazee??? Mji uko poa tuusan, utulivu ndio unahitajika, sehemu za masoko wapo watu, tena wengi sana
 
Dady wala usisumbuke na Wabongo jpo binafc yngu japo nami ni m'tz huwa hatuna hoja..never huwez compare roads za Nairob to Dar.. Ukweli utabaki kua there Nairob wanajitmbua bwana.
 
Dady wala usisumbuke na Wabongo jpo binafc yngu japo nami ni m'tz huwa hatuna hoja..never huwez compare roads za Nairob to Dar.. Ukweli utabaki kua there Nairob wanajitmbua bwana.
Wewe ndo hujitambui
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…