Dar es Salaam vs Nairobi Drone view

Dar es Salaam vs Nairobi Drone view

Nimewaambia mara nyingi Dar itachukua muda mrefu sana kufikia level ya Nairobi, yaani hapa nikianza kuorodhesha mambo yanayofanyika Nairobi nitapoteza muda mwingi sana. Nairobi sasa hivi ipo inan'gan'gana na miji mikubwa kama ya Afrika Kusini maana huko ndio ligi yake. Hapa EAC hatuna muda napo kabisa, nyie ndio mfuate nyayo zetu mje huko nyuma.

Nakuacha na mradi mmoja ambao tayari unafanyika na unategemewa kukamilika huu mwaka, cheki simulation yake hapa chini.... Halafu miji ingine ya Kenya inakuja kwa kasi, juzi nimeona presentation ya Mombasa, ambayo sasa ndio inaweza kupimana na Dar.

Unatuonesha makatuni ya mabox eti nairobi ww ni kilaza kweli kuliko wale vilaza aliosema magufuli
Ukienda, pale wizara ya ardhi utaona jinsi ramani ya dar city ilivyo lakini hao yo ni kwenye vitabu tu

Dar bado ipo juu nairobi mjinga
 
morning east africa.....@Depay my Kenyan woman,goodmorng.I'm back.....plz don't run away from me,this time I will not hate you.
 
Hakuna haja yakuendelea kuchoshana Dar na nai tumeshaona nai inann na Dar inann ,madhaifu ya miji yote mpaka sasa tumeshayaona. ..
Labda tutengeneze hoja zingine kuhusu miji hii. ..Annael kaanzisha Uzi wa nn kinaendelea Dar, upo Uzi nn kinaendelea Nai kwahyo ukipitia kila Uzi unaona kabisa tunajitahidi sana kusogea pazuri kila mmoja kwa speed yake....ndio maana nkasema kwa ukanda huu hakuna miji yakuzungumzia sana zaidi ya Dar na Nai ndio ipo kwenye mstari kwa sasa! !

Sent from my SM-J200H using JamiiForums mobile app
 
Hayo umeyaona wewe
Umeyazungumza wewe
Lakini hao wenzie hujiona wao ndio kila kitu
Full dharau sifa na majivuno.
Watanzania tulikuwa hatuna muda wa kupost post mapicha mitandaoni
Au kujisifia
Dharau za wakenya na ujuaji ndio chanzo.
Leo jamaa kaanzisha mada hapa
Eti kwa kinyongo chao nawao wameanzisha hahaha!!
Lazima waelewe Tanzania yaleo siyo ya jana
Hakuna kipya walicho nacho kigeni kwa Tanzania.
Kwao tunakwenda
Wakenya tunawaona
Wapo wanao ishi kama mbwa ktk nchi yao
Hili hawalizungumzi wao sifa tu!!
 
morning east africa.....@Depay my Kenyan woman,goodmorng.I'm back.....plz don't run away from me,this time I will not hate you.

Aaaw Govi... Hukusikia kichapo cha jana.Achana hiyo ulikimbia ukilia mdogo wangu, Now, you will surely hate me today......Tehehehee
 
Hahahaha... Bora usiniroge... Jiji zuri la Dareslum.... I am playing with your mind. You post small twitter posts by fun making Kenyans and I expose your Dareslum town full of slums and Cholera and sweet thing is these posts go online... any visitor preparing to come to Dareslum will pump into the slummy pictures and booom... How silly Kadoda... How silly. Twende. Jiji zuri la Dareslum
View attachment 455265
View attachment 455266
View attachment 455267
View attachment 455268
View attachment 455269

mwanaetu Depay ! chunga hawa danganyika wasikupeleke sumbawanga kupandwa ,unajua hao ni wachawi wakupindukia .lakini jambo zuri unawavua nguo na kuwawacha uchi.
 
aerial-view-of-nairobi-cbd-buildings-looking-west-kenya-EHA190.jpg

kenya-nairobi.jpg

Kenya-Nairobi-la-capitale-du-kenya.jpeg
 
Mbona sijaona kakakuona towers ya Dar es Salaam? Alafu huo mradi ni wa nani?
Na hii nyingine sijui promise tower.
 
Yes i did visit with my friend took some photos too!
This one I took my friend Yusuf! Beach bovu kuliko chochote duniani!!
10660286_791407040982378_564504615861978422_n.jpg
Huyu dogo nimemwambia aache ushamba lakini bado aliye kuroga naona kasha kufa sio kosa lako ni kosa LA kukulia kibera daah so sad hadi beach huijui
 
Back
Top Bottom