Dar es Salaam wanawake wengi ni madada poa ila wanajificha kwenye kivuli cha uanafunzi, niligundua hili baada ya kuingia sita kwa sita

Inawezekana isiwe chai Sema na yeye ana ushamba flani hivii. Hicho kipimo cha kujua walimu kachemka labda kama hajui maisha ya chuo yakoje
Hajasoma anahadisiwaga tu na uyo rafiki ake profesor labda maji marefu
 
Ni kweli dada poa wanatumia kivuli cha uanafunzi. Ila pia huwezi sema kwa kua rafiki yako ambae ni Prof kutokumjua ndio moja kwa moja yeye sio mwanafunzi.
 
Ila we mzee unahangaika..embu tuliaga mwisho wa siku utafia kwenye vifua vya mabinti za watu umpe shida mkeo
 
Mzee wa Mbinga siku nyingine ujifunze, sio kila kitu ni cha kuandika mengine ni ya kufanya tu yawe maisha, usiwe serious sana
 
Moto upo na mbingu ipo..wazinzi wooote mahali pao ni..[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91] period
Mpokee Yesu leo upone...atakupa nguvu za kushinda tamaaa za mwili
 
Pole sana...

Za kuambiwa changanya na za kwako
 
Kwa HYo unataka wanafunzi wawafahamu maprofesa wote Ndugu.
 
Ma professor hawawezi kujua wanachuo wote.... Hiyo hoja yako haina mashiko
Hujaelewa vzr, jamaa anamaanisha mwanafunzi kumfahamu Prof, lakn jamaa anafikiri kila mwanafunzi anamfahamu kila mwalimu chuoni, kama unasoma political science (mfano) utamfahamuje profesa wa maths (mfano pia)
 
We ulikuwa hujui eeh
 
Sio kila mwanafunzi anawajua wakufunzi wote, nimesoma chuo nlikua nawajua walimu wangu tu
 
It depends na nature ya chuo . Kuna vyuo vikubwa kama sua pale Mimi nimegraduate ma prof wengi si wafahamu. Asilimia kubwa utawafahamu maprof wanaokufundisha tuu. Mwaka ule Mimi nipo kulikuepo na PhD holders more than 500 na faculties nyingi tuu. Mtu anayesoma Bachelor of forestry sio rahis kumfahamu prof wa kule agriculture labda kama wana share course. Labda ungemuuliza DVC wa chuo na prof wa course anayosoma
 
Wengine wanajificha kwenye uhudumu nyumba za ibada
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…