Dar: Flyover ya Mfugale yazinduliwa. Chang'ombe na Gerezani kujengwa flyover, Barabara njia 8 kujengwa Kimara hadi Kibaha

It is exhilarating to be recognized for an astounding performance. Civil servants should emulate this patriotic Tanzanian.
 
Ni jambo jema sana kutambua michango ya wazalendo.
 

Teh teh teh tihiii
tatizo la kukariri hilo.
Ahaaa haaa haaa
 
Nadhani mambo yote yanakuaga kwe ilani ya chama tawala then aliyechaguliwa anakuwa huru kuchagua kipi kiendelee, kipi kianze kipi cha kuachana nacho. Nafikiri pia ni vyema sana tukiwa na Ilani ya Taifa isiyofungamana na chama chochote cha siasa ili tumchague chama/mtu atakayekuwa na namna nzuri ya kuitekeleza.
 
Swali kidogo.


Eng wa Tanroads anasema darala limegharimu 92Bln


Naibu Waziri Ujenzi, Kwandikwa anasema limegharimu 106Bln

Raisi anasema limegharimu 106.65Bln


Nani mkweli hapo?
 
R.I.P Eng. Mjungi, former R.E Nangurukuru road camp.
 
😀😀😀
 
Jina jipya ni vigumu kulifunika jina la mwanzo lililozoeleka pia ni raisi kulitaja kuliko La mwanzo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…