Dar: Flyover ya Mfugale yazinduliwa. Chang'ombe na Gerezani kujengwa flyover, Barabara njia 8 kujengwa Kimara hadi Kibaha

Sasa mnavojisifiaga pesa mnazo tukajua ni za ndani, kumbe mikopo?
 
Wengi tulikuwepo pale TAZARA leo katika ufunguzi wa Flyover, daraja lilopewa jina la Eng Patrick Kipilimba Mfugale.

Pamoja na utani mwingi wa Rais, lakini ametuonyesha upande wa shilingi ambao watendaji wengi wa serikali wanapitia lakini umma hauuoni.
Kati ya sifa alizo mwagiwa Eng Mfugale:
1. Amebuni na kusimamia madaraja mengi nchini

2.Ni mwadilifu na amewahi kusimamishwa kazi kwa kutetea ukweli na akavumilia manyanyaso ya bosi wake. Mwenzake ambaye hakuweza kuvumilia alijipiga risasi.
3. Ni mchapa kazi, alisanifu (draft) daraja la Umoja linalounganisha Tz na Msumbiji ndani ya siku tatu.
(Na bado siku ya ufunguzi daraja hilo wala hakutajwa hadi Waziri wakati huo J Magufuli alipomtaja hadharani kwa marabya kwanza)

4. Akiwa Mkuu wa TANROADS kasimamia ujenzi wa maelfunya kilometa zikiwemo 9,000 kiwango cha lami.

Hapo nilipokuwa nimekaa, wananchi walianza kutikisa vichwa na wengine kujisemea, kuwa kweli Tanzania tuna watu wanafanya kazi kwa moyo.

Kwa upande wa wahandisi namshukuru mh. Magufuli kwa kumuinua Eng Patrick Mfugale na kuitambua fani ya Uhandisi.
Fani ya Uhandisi ikitumika vyema na kwa uadilifu kama alivyo fanya Eng Patrick Mfugale, basi nchi itapata maendeleo chanya.
Ni jambo jema kabisa alilofanya Mheshimiwa Raisi Magufuli.
Hofu yangu ni kuwa katika utendaji wa serikali kuna watu wengi kama Mfugale lakini hawapo katika fani ya ujenzi (fani ya Mheshimiwa Raisi kwani amehudumu humo kwa muda mrefu).Kuna madaktari na watu wa fani nyingine nyingi.Pamoja na heshima aliyopewa Mfugale inabidi kuanzishwe medali kwa watu wa namna ya Mfugale.
Jambo jingine (reading between the lines) ni kuwa Mfugale alifanyiwa yasiyostahili lakini kwa kuwa Mheshimiwa Rais ndiye mkuu wa nchi anachukua hatua gani kwa waliomnyanyasa Mfugale na pia kusababisha kifo cha muadilifu mwingine.
Madaraka yote anayo sasa hebu atunyoshee hawa walio frustrate mtu mpaka akajiua.
 
Rais John Magufuli, amewataka wataalamu nchini kuiga uchapakazi wa Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Barabara nchini (Tanroads) Patrick Mfugale, kwa kuwa waaminifu na kutanguliza Utanzania kwanza.

Ameyasema hayo leo Septemba 27 katika sherehe ya uzinduzi wa daraja la juu la Mfugale lililopo katika makutano ya Barabara ya Mandela na Nyerere eneo la Tazara jijini Dar es salaam ambapo amesema kwa uaminifu wa Mfugale hauwezi ukasahaulika kamwe.

“Wataalamu wa Tanzania wasiwe chanzo cha kurudisha nyuma maendeleo ya nchi yetu kwani badala yake waige uchapakazi wa Mfugale yeye hakupendelewa bali alitanguliza Utanzania mbele badala ya ubinafsi,” amesema.

Amesema kutokana na changamoto na hatua mbambalimbali alizozifanya Mfugale tangu mwaka 1977 akiwa mhandisi Wizara ya Ujenzi, ana imani Watanzania watakubaliana naye kuwa daraja hilo lilistahili kupewa jina lake.

“Ninampongeza Waitara (Mbunge mteule Jimbo la Ukonga, Mwita Waitara) kwa kurudi kwani maendeleo hayana chama sijasema wote waje siwahitaji ila wale ambao wanaosumbuka na mizigo waje tutawakaribisha kwa mikono miwili tujenge maendeleo ya nchi yetu.

Daraja hilo lililopewa jina la ‘Mfugale Flyover’ limegharimu Sh bilioni sita iliyohusisha usimamizi wa ujenzi wenyewe, limejengwa kwa nguzo kubwa 26 na uwezo wa kubeba tani 180 kwa wakati mmoja pia lnatarajiwa kudumi zaidi ya miaka 100.
 
Mkuu watu kama Eng Mfugale serikalini wapo wengi tu.
Kuna watanzania wanaofanya kazi kwa kujituma na kwa uadilifu.
Tatizo ni kwamba hawatambuliwi maana wanasiasa wanajiweka wao mbele, tofauti na heshima aliyotoa leo Dr JPJ Magufuli.
 
.
2018-09-27_00-01-46-568.jpg
 
Wamekosa jina la kuliita hilo daraja mpaka wakaita jina la mjenzi.... nchi hii haina waasisi??
 
Rais John Magufuli, amewataka wataalamu nchini kuiga uchapakazi wa Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Barabara nchini (Tanroads) Patrick Mfugale, kwa kuwa waaminifu na kutanguliza Utanzania kwanza.

Ameyasema hayo leo Septemba 27 katika sherehe ya uzinduzi wa daraja la juu la Mfugale lililopo katika makutano ya Barabara ya Mandela na Nyerere eneo la Tazara jijini Dar es salaam ambapo amesema kwa uaminifu wa Mfugale hauwezi ukasahaulika kamwe.

“Wataalamu wa Tanzania wasiwe chanzo cha kurudisha nyuma maendeleo ya nchi yetu kwani badala yake waige uchapakazi wa Mfugale yeye hakupendelewa bali alitanguliza Utanzania mbele badala ya ubinafsi,” amesema.

Amesema kutokana na changamoto na hatua mbambalimbali alizozifanya Mfugale tangu mwaka 1977 akiwa mhandisi Wizara ya Ujenzi, ana imani Watanzania watakubaliana naye kuwa daraja hilo lilistahili kupewa jina lake.

“Ninampongeza Waitara (Mbunge mteule Jimbo la Ukonga, Mwita Waitara) kwa kurudi kwani maendeleo hayana chama sijasema wote waje siwahitaji ila wale ambao wanaosumbuka na mizigo waje tutawakaribisha kwa mikono miwili tujenge maendeleo ya nchi yetu.

Daraja hilo lililopewa jina la ‘Mfugale Flyover’ limegharimu Sh bilioni sita iliyohusisha usimamizi wa ujenzi wenyewe, limejengwa kwa nguzo kubwa 26 na uwezo wa kubeba tani 180 kwa wakati mmoja pia lnatarajiwa kudumi zaidi ya miaka 100.
Anastaili pongezi mhe. Mfugale na rais wetu mpendwa Dr.John Pombe Magufuli
 
Amesema kutokana na changamoto na hatua mbambalimbali alizozifanya Mfugale tangu mwaka 1977 akiwa mhandisi Wizara ya Ujenzi, ana imani Watanzania watakubaliana naye kuwa daraja hilo lilistahili kupewa jina lake.
How old is this guy! Nafasi ya mtendaji mkuu TANROADS haina umri wa kustaafu?!
 
Wengi tulikuwepo pale TAZARA leo katika ufunguzi wa Flyover, daraja lilopewa jina la Eng Patrick Kipilimba Mfugale.

Pamoja na utani mwingi wa Rais, lakini ametuonyesha upande wa shilingi ambao watendaji wengi wa serikali wanapitia lakini umma hauuoni.
Kati ya sifa alizo mwagiwa Eng Mfugale:
1. Amebuni na kusimamia madaraja mengi nchini

2.Ni mwadilifu na amewahi kusimamishwa kazi kwa kutetea ukweli na akavumilia manyanyaso ya bosi wake. Mwenzake ambaye hakuweza kuvumilia alijipiga risasi.
3. Ni mchapa kazi, alisanifu (draft) daraja la Umoja linalounganisha Tz na Msumbiji ndani ya siku tatu.
(Na bado siku ya ufunguzi daraja hilo wala hakutajwa hadi Waziri wakati huo J Magufuli alipomtaja hadharani kwa marabya kwanza)

4. Akiwa Mkuu wa TANROADS kasimamia ujenzi wa maelfunya kilometa zikiwemo 9,000 kiwango cha lami.

Hapo nilipokuwa nimekaa, wananchi walianza kutikisa vichwa na wengine kujisemea, kuwa kweli Tanzania tuna watu wanafanya kazi kwa moyo.

Kwa upande wa wahandisi namshukuru mh. Magufuli kwa kumuinua Eng Patrick Mfugale na kuitambua fani ya Uhandisi.
Fani ya Uhandisi ikitumika vyema na kwa uadilifu kama alivyo fanya Eng Patrick Mfugale, basi nchi itapata maendeleo chanya.
Hongera sana Rais mpenda maendeleo Dr Magufuli kwa kuupa heshimabuhandisi uliotukuka ulioonyeshwa na Eng Mfugale.

Kama Daraja la Selander lilivyochukua jina la mhandisi wa kikoloni, sasa tuna mhandisi wetu mzalendo Eng Patrick Mfugale.
 
Rais John Magufuli, amewataka wataalamu nchini kuiga uchapakazi wa Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Barabara nchini (Tanroads) Patrick Mfugale, kwa kuwa waaminifu na kutanguliza Utanzania kwanza.

Ameyasema hayo leo Septemba 27 katika sherehe ya uzinduzi wa daraja la juu la Mfugale lililopo katika makutano ya Barabara ya Mandela na Nyerere eneo la Tazara jijini Dar es salaam ambapo amesema kwa uaminifu wa Mfugale hauwezi ukasahaulika kamwe.

“Wataalamu wa Tanzania wasiwe chanzo cha kurudisha nyuma maendeleo ya nchi yetu kwani badala yake waige uchapakazi wa Mfugale yeye hakupendelewa bali alitanguliza Utanzania mbele badala ya ubinafsi,” amesema.

Amesema kutokana na changamoto na hatua mbambalimbali alizozifanya Mfugale tangu mwaka 1977 akiwa mhandisi Wizara ya Ujenzi, ana imani Watanzania watakubaliana naye kuwa daraja hilo lilistahili kupewa jina lake.

“Ninampongeza Waitara (Mbunge mteule Jimbo la Ukonga, Mwita Waitara) kwa kurudi kwani maendeleo hayana chama sijasema wote waje siwahitaji ila wale ambao wanaosumbuka na mizigo waje tutawakaribisha kwa mikono miwili tujenge maendeleo ya nchi yetu.

Daraja hilo lililopewa jina la ‘Mfugale Flyover’ limegharimu Sh bilioni sita iliyohusisha usimamizi wa ujenzi wenyewe, limejengwa kwa nguzo kubwa 26 na uwezo wa kubeba tani 180 kwa wakati mmoja pia lnatarajiwa kudumi zaidi ya miaka 100.
Rekebisha kwenye billion sita iwe billion miamoja na sita!!
 
Back
Top Bottom