Dar: Flyover ya Mfugale yazinduliwa. Chang'ombe na Gerezani kujengwa flyover, Barabara njia 8 kujengwa Kimara hadi Kibaha

Duuu, kumbe hadi uhasibu? Mi nadhani ule wizi unaosemwa ni CAG ni wizi wa ajabu sana, maana kadri walivyoiba ndio miundombinu zinakuwa bora, waongeze tu kasi ya kuiba kwa kweli
Acha ushabiki maandazi wa kiccm, unataka kumsingizia CAG kuwa mzushi?
 
huko kijijini kwenu barabara hazipitiki, unasafiri kilomita 40 kwenda hospital, kilometa 20 kwenda shule au shule za makuti
umepanga chumba kimoja buza kazi kusifia wizi na flyover za DSM
watanzania mtanyonwa hadi makalio na ccm mpaka hapo akili itakapo warudia
 
ni dhambi kuteseka kijijini kwenu na hapa mjini,unasikia wewe nyumbu???

wenzako wenye magari ndio wanajua adha ya foleni na mkombozi kama flyover hizi zinazojengwa.
 
Wewe ndugu utakuwa na matatizo ya akili. haiwezekani uone flyover kwa macho yako alafu utuletee taarifa kwamba sisi tukupe picha.

You are completely a Psychiatric case
Wewe ndiye mwendawazimu, wale ambao hawajaona kwa macho yao wataonaje bila picha?
 
huko kijijini kwenu barabara hazipitiki, unasafiri kilomita 40 kwenda hospital, kilometa 20 kwenda shule au shule za makuti
umepanga chumba kimoja buza kazi kusifia wizi na flyover za DSM
watanzania mtanyonwa hadi makalio na ccm mpaka hapo akili itakapo warudia
Mchango wao kwenye pato la taifa ni kiasi gani?
 
huko kijijini kwenu barabara hazipitiki, unasafiri kilomita 40 kwenda hospital, kilometa 20 kwenda shule au shule za makuti
umepanga chumba kimoja buza kazi kusifia wizi na flyover za DSM
watanzania mtanyonwa hadi makalio na ccm mpaka hapo akili itakapo warudia
Duh!!..
 
Back
Top Bottom