Dar: Flyover ya Mfugale yazinduliwa. Chang'ombe na Gerezani kujengwa flyover, Barabara njia 8 kujengwa Kimara hadi Kibaha

Dar: Flyover ya Mfugale yazinduliwa. Chang'ombe na Gerezani kujengwa flyover, Barabara njia 8 kujengwa Kimara hadi Kibaha

Kwa kifupi CAG kamaanisha utowaji wa pesa ktk kutekeleza miradi haikufuata utaratibu unaotakiwa

Lakini,
kwa hii miradi tuliyoshuhudia na tunayoendelea kuishuhudia kama ili miradi mikubwa ifanyike kwa mtindo huu basi utawala wa JPM ni BORA MARA ELFU MOJA

Kwasababu tukikumbuka enzi za tawala iliyopita miaka kadhaa kuna billions of money zilipotea kupitia Richmond ambayo ilikuwa kampuni hewa inatuuzia umeme hewa
Kisha tukashuhudia ubebaji wa billions of money vía escrow account kwa kutumia mifuko ya rambo na sandarusi
 
Subrini kwanza zimalizwe kujenga flyovers Dar. Zamu yenu bado
huko kijijini kwenu barabara hazipitiki, unasafiri kilomita 40 kwenda hospital, kilometa 20 kwenda shule au shule za makuti
umepanga chumba kimoja buza kazi kusifia wizi na flyover za DSM
watanzania mtanyonwa hadi makalio na ccm mpaka hapo akili itakapo warudia
 
Huu uzi kuna watu umewaumiza,watu awapende nchi yetu ikinawiri.
Sisi tunapenda tuone wewe binafsi umefaidiki nini?
Umenunua au umejenga nyumba, una gari au magari, una kipato cha kumudu gharazote za afya na je hizo huduma zipo nchini siyo kukimbilia kenya..
watuwekee picha za maendeleo binafsi tujue kweli nchi imeendelea.........
 
We umepita umeshinwa kupiga picha tena ukijua unakuja kuandika uzi usio na maelezo ya kutosha, tunaomba urudi ukatupigie picha vinginevyo mamoderetor waufute huu uzi hauna maana
 
Back
Top Bottom