Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lete picha acha maneno weweSasa punguani ni mimi au wewe unaebisha bila hoja, kwamba sijaona picha ya makalio yako means huna makalio?
Hicho ndo wabongo tunachoweza kufanya.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Dah Jf kuna majibu
Hata uteeteee vipi 17/3 is happiest momentDuuu, kumbe hadi uhasibu? Mi nadhani ule wizi unaosemwa ni CAG ni wizi wa ajabu sana, maana kadri walivyoiba ndio miundombinu zinakuwa bora, waongeze tu kasi ya kuiba kwa kweli
Wewe ni mpumbavu shambenga wa kwenye vigodoro,pumbavu.Kwa waliokuwepo karibu na eneo la tukio, tunaomba picha
Huyu ni imbecileNimekuja speed nikifikiri kuwa nitakutana na picha kumbe punguani ndiye kaleta uzi.
Hao Wana akili za kukumbuka kutawaza wakishakunya basiMbona ni kama baadhi ya MATAGA mmeanzisha uzi na kujijibu wenyewe.
huko kijijini kwenu barabara hazipitiki, unasafiri kilomita 40 kwenda hospital, kilometa 20 kwenda shule au shule za makuti
umepanga chumba kimoja buza kazi kusifia wizi na flyover za DSM
watanzania mtanyonwa hadi makalio na ccm mpaka hapo akili itakapo warudia
Mchango wao kwenye pato la taifa ni kiasi gani?
La mda sana mkuu sema tu walizingushia bati pale that's why ulikuwa hujaonaKwa waliokuwepo karibu na eneo la tukio, tunaomba picha
Sisi tunapenda tuone wewe binafsi umefaidiki nini?Huu uzi kuna watu umewaumiza,watu awapende nchi yetu ikinawiri.
OfcourseNi kodi za wananchi sio mishahara ya watu...
Umechanganyikiwa?Wewe ni mpumbavu shambenga wa kwenye vigodoro,pumbavu.
Imbicile ni wewe unae panic bila hoja, kama huna hoja, atleast jiheshimuHuyu ni imbecile
Kwani we umevuta kiasi gani?Una uhakika hujavuta bangi kweli?