Tatizo anajificha wapi mkuu?Kwanini hakujulinda ama hakujificha wakati alijua kilichokuwa kinakuja?
Uvunguni......kama alivyofanya Gwajima.Tatizo anajificha wapi mkuu?
Acha ujinga,unauwa watu elfu 23 plus mshindwe kumteka fortunatus??Michezo ya kujificha na kusema mmetekwa sijui itaisha lini?
we nan kakupa izo info kwamba wamekufa 23kAcha ujinga,unauwa watu elfu 23 plus mshindwe kumteka fortunatus??
Kwani nasisi hatuna intellegencia??we nan kakupa izo info kwamba wamekufa 23k
Duuuh 🥺🥺.pole sanaMichezo ya kujificha na kusema mmetekwa sijui itaisha lini?
unaitolea wap, acha kupika dataKwani nasisi hatuna intellegencia??
Huo ndio uhalisia,unauwa watu elfu 23 plus,hivi unadhani utaendelea kuwa salama kwa akili timamu???unaitolea wap, acha kupika data