Superhuman 1995
JF-Expert Member
- Aug 29, 2020
- 1,909
- 3,210
Vipi wasimamizi wa vituo hamkuwapa maagizo ya kupiga kura watu ambao hawakuja siku hiyo ya uchafuzi??jikite kwenye hoja
Vipi wasimamizi wa vituo hamkuwapa maagizo ya kupiga kura watu ambao hawakuja siku hiyo ya uchafuzi??jikite kwenye hoja
pole sana, kutetea mwizi wa kura na muuwaji sio kazi nyepesi.ulikuepo?
Hoja ya kupika data ama?jikite kwenye hoja
Kua uyaone.Michezo ya kujificha na kusema mmetekwa sijui itaisha lini?
hakuna tuzo ya kuropokaNdio naweza,je wewe unaweza tetea hoja ya kuhesabu kura million 32 kwa siku moja???
Mkomola, Barabara mpya, Mbuyuni, Kanisani, Mazimbu road........ Gen Z wa mkoa huo sijui ni uoga ama ni nini walipoa mno kwenye Mo29 na hata hii D9 hawana dalili ya kuhamasika.Nadhani sasa nimeamini hata mimi upo wakati naweza kutekwa
Nimejiridhisha kifo kipo hata kama sijaandamana, hivyo tarehe 9 tukutane barabarani kulikomboa taifa . Haiwezekani wachache kutoka visiwani na division zao 4 waje kutuweka roho juu mamilioni ya watanzania
Ndo kwa heri hivyoMwandishi bora wa makala za uchunguzi ndugu Fortunatus Buyobe ametekwa jioni ya leo maeneo ya Dar.
Hata hivyo waliomchukua wamejitambulisha kwake kuwa ni polisi ila haijajulikana alipopelekwa mpaka sasa.
Soma PostGE2025 - Fortunatus Buyobe: Maisha yangu yapo hatarini, nawindwa na Askari wenye silaha za moto ambao pia wamevamia kwangu bila kibali
View attachment 3512365
🤣 🤣Fortunates aachiwe haraka
Najua wasiojulikana walishajulikana
D9 sio mbali tutakula nao mita 100
Mimi ningeacha simu nikaenda ishii kama Digi digii...Juzi si alisema maisha yake yako hatarini. Kwa nini hakujulinda ama hakujificha wakati alijua kilichokuwa kinakuja?
wenzako walienda kuandamana wewe umekaa ndan alafu unakuja na data 🤣 🤣Hoja ya kupika data ama?
Hoja hupingwa na hoja, wewe tueleze idadi sahihi ya waliouawa.unaitolea wap, acha kupika data
haiwezekan labda kama huna familiaMimi ningeacha simu nikaenda ishii kama Digi digii...
Mimi ni vampire 🦇 ningekaa miezi sita siwasiliani na mwanafamilia yeyote...
si hauna ushahidipole sana, kutetea mwizi wa kura na muuwaji sio kazi nyepesi.
Gwajima anatumia mbinu hizo hizo ndo maana hakudakwa.Mimi ningeacha simu nikaenda ishii kama Digi digii...
Mimi ni vampire 🦇 ningekaa miezi sita siwasiliani na mwanafamilia yeyote...
Na hakuna tuzo ya kuuwa watu elfu 23 plus,ukabaki salama nakuhakikishia hamnahakuna tuzo ya kuropoka
hao elfu 23 uliwaua wewe nn umekazania sanaNa hakuna tuzo ya kuuwa watu elfu 23 plus,ukabaki salama nakuhakikishia hamna
Wewe umejificha lini mara ya mwisho?Michezo ya kujificha na kusema mmetekwa sijui itaisha lini?