PostGE2025 Dar: Fortunatus Buyobe adaiwa kutekwa na wasiojulikana

PostGE2025 Dar: Fortunatus Buyobe adaiwa kutekwa na wasiojulikana

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Inasikitisha sana ,kama kweli ametekwa basi kurudi tena uraini ni 0.001%
 
Kwa hiyo na huyu watamuua? Then what?? Watakuwa wameweza kuwanyamazisha watu?? Ila hawa wajinga uwezo wao kufikiria ni kiboko 🤦‍♀️
 
Ndio haya mambo Huyu mama anataka watu wayanyamazie ili aachwe amalize kipindi chake!!! Mungu wangu 😢
 
Mwandishi wa makala za uchunguzi ndugu Fortunatus Buyobe anadaiwa kutekwa jioni ya leo maeneo ya Dar.
Kuandika makala za uchunguzi kuhusu Tanzania ukiwa nchini humo ni hatari sana. Ngurumo alionyesha njia
 
Nilisoma nae mwanza huyu shule moja inaitwa Bismark, naona kuna taarifa kuwa yuko kituo cha polisi Chang’ombe
 
Back
Top Bottom