The mission 2017
JF-Expert Member
- Aug 14, 2017
- 6,498
- 14,946
Unaweza saana serikali yenyewe hii ya bongo unatafutwa tu na kakikundi. Kuna rules za kujificha mzee.
Sasa mkuu utajificha milele? Huna kazi huna biashara huna Familia?
Unaweza saana serikali yenyewe hii ya bongo unatafutwa tu na kakikundi. Kuna rules za kujificha mzee.
Sasa ukidakwa ufe huna kazi huna familia huu ni upepo tu ikipita miaka 5 hawana time tena na wewe sasa kama unashindwa kuwa ghost kwa miaka 5 basi poleSasa mkuu utajificha milele? Huna kazi huna biashara huna Familia?
Sasa ukidakwa ufe huna kazi huna familia huu ni upepo tu ikipita miaka 5 hawana time tena na wewe sasa kama unashindwa kuwa ghost kwa miaka 5 basi pole
Ndo ivo harakati zina gahrama zakeKama unategemea kufanya harakati halafu ukihitajika kidogo unataka kwenda mapangoni bora uache tu.
Juzi si alisema maisha yake yako hatarini?
Kwanini hakujilinda ama hakujificha wakati alijua kilichokuwa kinakuja?
Amezembea mwenyewe, dah.Halafu anadai kuwa anayo bastola, amedhindwaje kuwafumua?
Nasikia Gwajima Leo anarindima kanisani mwake.Gwajima ulishaambiwa ni Jasusi la mbinguni, Utafananisha na huyo mwandishi uchwara
Kwa kweli jamaa hukujulinda inavyotakikana, zaidi ya yote alitoa taarifa ya kufuatiliwa kwake akiamini wahuni wataogopa.Blaming the victims ni tabia ya rais wenu shangingi. Juzi alilaumu wazazi waliopoteza watoto wao
Nimeuliza swali hapo ju, nasikia alikuwa mwizi wa maandiko ya wana JF humu na kaiba sana kazi za The BoldMwamba tulikuwa tunakula nondo sana simulizi zake kule telegram
Wewe utakuwa mkenya ...hiki Kiswahili cha Genge kabisaKwani nasisi hatuna intellegencia??
Huwa sipendi kutumia sheria mkononi Ila kwenye hili ni bora kufanya hivyo maana watu wataisha wote tukibaki kujiuliza tu.Sheria ilipitishwa bungeni kuwalinda. Sheria hiyo haikujadiliwa
Mimi ningeacha simu nikaenda ishii kama Digi digii...
Mimi ni vampire 🦇 ningekaa miezi sita siwasiliani na mwanafamilia yeyote...
Tupe data sahihi walikufa wangapi?we nan kakupa izo info kwamba wamekufa 23k
Wewe jamaa kichwa ina kamasi.Michezo ya kujificha na kusema mmetekwa sijui itaisha lini?
Mbwa kama nyie mnajiona mko salama na hayawahusu,mtafikiwa tuu na itakuwa too lateMichezo ya kujificha na kusema mmetekwa sijui itaisha lini?
Hivi mna akili nyie, au mnaandika tuu bila kufikiria, ni akili mbovu kufikiri police wapo pale kukulinda, wale ndio watekaji na wauaji, mtaelewa ikiwa too lateMjinga huyu aliishatoa tahadhari anatafutwa tukamjibu, kama wanaokutafuta hawaachi taarifa zao kwa mjumbe na kwako hawaachi taarifa zao, hutafutwi na malaika ni watekaji, alipaswa kujiongeza.
Alienda polisi na walikuwa hawamtafuti, tukamwambia hao ni uvcc wakikukamata hutorudi.