PostGE2025 Dar: Fortunatus Buyobe adaiwa kutekwa na wasiojulikana

PostGE2025 Dar: Fortunatus Buyobe adaiwa kutekwa na wasiojulikana

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Nadhani sasa nimeamini hata mimi upo wakati naweza kutekwa
Nimejiridhisha kifo kipo hata kama sijaandamana, hivyo tarehe 9 tukutane barabarani kulikomboa taifa . Haiwezekani wachache kutoka visiwani na division zao 4 waje kutuweka roho juu mamilioni ya watanzania
 
Back
Top Bottom