Mmewauwa bado tena mkaacha kutosheka mkawafukia kama kuku waliokufa na kidelihao elfu 23 uliwaua wewe nn umekazania sana
Mmewauwa bado tena mkaacha kutosheka mkawafukia kama kuku waliokufa na kideli
Kwamba mliua waandamanaji wote, ama unajichekelesha ki 🌈?wenzako walienda kuandamana wewe umekaa ndan alafu unakuja na data 🤣 🤣
Safari hii kinawaka tunaanzia champion, manzese mjini katiMkomola, Barabara mpya, Mbuyuni, Kanisani, Mazimbu road........ Gen Z wa mkoa huo sijui ni uoga ama ni nini walipoa mno kwenye Mo29 na hata hii D9 hawana dalili ya kuhamasika.
Kwamba mliua waandamanaji wote, ama unajichekelesha ki 🌈?
Itaisha watakaporudi wakiwa hai akina Ben Saanane, polepole,Ally kibao,Mdude,kijana aliechoma moto picha ya Raisi n.k.Michezo ya kujificha na kusema mmetekwa sijui itaisha lini?
And that’s the worst part!Anaweza asirudi Tena uraiani...
Mtekwaji kayataka,tulimwambia Potea ukajifiche Tanzania kubwa hii!!!Juzi si alisema maisha yake yako hatarini. Kwa nini hakujulinda ama hakujificha wakati alijua kilichokuwa kinakuja?
Tena kwa bahati alijua mapema.Mtekwaji kayataka,tulimwambia Potea ukajifiche Tanzania kubwa hii!!!
Ndio hapo sasaTatizo anajificha wapi mkuu?
Wamefuatilia gari lake wakamkosa!Tena kwa bahati alijua mapema.
Anataka atekwe ili tumwonee huruma. Tanzania hii siyo ileee.Wamefuatilia gari lake wakamkosa!
Wakamfuata mpaka nyumbani wakamkosa bado Tu hajiongezi kupotea kawasubiri mpaka wamemdaka si upuuzi huu???
Hii Nchi ukinusa wanakusaka Usiwaze mara mbili achana na Kila kitu Potea!!!!
Kuichafua nchiKwasababu zipi?
Siku akitekwa mume wako ndiyo utaacha huu usengerema wakoMichezo ya kujificha na kusema mmetekwa sijui itaisha lini?