PostGE2025 Dar: Fortunatus Buyobe adaiwa kutekwa na wasiojulikana

PostGE2025 Dar: Fortunatus Buyobe adaiwa kutekwa na wasiojulikana

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Hivi mna akili nyie, au mnaandika tuu bila kufikiria, ni akili mbovu kufikiri police wapo pale kukulinda, wale ndio watekaji na wauaji, mtaelewa ikiwa too late
Alienda yeye, siyo mimi, katekwa yeye sasa huko wanampekuwa makalio, wakimaliza wanamuua.

ccm na mipolisi miuaji, sijui kwanini mitanganyika hatuna akili kiasi hiki.
 
Sasa kama watu wamejitambulisha katekwa vip??? Na si alisema hawamuwezi mana yuko mbele yao...

Hii nchi ukitaka uione ndogo wakutake wao.... By the way watatoa press mana tayari alishaweka wazi kwamba aliwasiliana nao na wakamwambia kwanini wanamuhitaji.

Amekamatwa Hajatekwa.
 
Huwa sipendi kutumia sheria mkononi Ila kwenye hili ni bora kufanya hivyo maana watu wataisha wote tukibaki kujiuliza tu.
Mtu anatekwa na anajulikana wakina nani wamemchukua aisle harmful wanataka watu wakae kinda hiyo sio sawa..
Yaani kwa ufupi watekaji kwa sasa hawaogopi
 
Kwa kweli jamaa hukujulinda inavyotakikana, zaidi ya yote alitoa taarifa ya kufuatiliwa kwake akiamini wahuni wataogopa.

Kwenye nchi sasa hivi usipojilinda mwenyewe vyombo vya ulinzi havitakusaidia zaidi ya kukididimiza.

Angejilinda vipi na mabaunsa au bunduki? Samia Suluhu akikutaka hata border ya Kenya ufiki
 
Haya mambo ya kuteka watu yalisabbaisha dereva wa TRA kuuwawa na wananchi wenye hasira kali na watekaji pale Tegeta kwa ndevu.

Hii tume ya jaji chande iliangalie hili sasa hivi mtu akipiga kelele abatekwa kama ni kimara hali itakuwa mbaya pande zote
 
Back
Top Bottom