miss pablo
JF-Expert Member
- Jul 9, 2018
- 5,411
- 11,025
[emoji23][emoji23] na kinondoni.. mijimama ya town. We chepuka kimyakimya na mm nakumaliza kimya kimyaIsome hii comment ya cariha vizuri ina madini ya kutosha, hii siri sikutaka kuisema ila huyu cariha kaitaja hapa
Wanaume wengi sana wanauliwa kwa sumu ya pole pole, kimya kimya..
Wamama wa Sinza ndo vinara wa huu mchezo[emoji22][emoji848]
Ni balaa
Kweli kabisa[emoji848]Hahaha asante studio. Tumekoma ndugu. Tumejifunzaa. Ila wanatoaga kwa wanaowapenda tu. Kwa wale wanaowatumia ndo huwa wanataka kuchuna tu. Dawa ni hakuna kutoa
Kirambasi ni kitu gani mkuu, duh una maneno makali we mwana sio poa!Sasa jichanganye hata kwa mzaramo ndo utaelewa ukishakua mkavu kama kuti saa hiyo. Munapenda wanawake wanyonge muwaonee na kuwanyanyasa. Wengine makwao wamelelewa kwa upendo, confidence. Kujiamini na kujua haki zao. Akakutane na wewe kirambasi unamnyanyasa akuvumilie tu awe submissive siyo? Umpige akuangalie tu, umtukane akae kimya tu. Jichanganye ndk utaelewa
Naonaga hii content yako kwenye threads nyingi tu. Ishu ni tuogope na utuwacheee[emoji23][emoji23] ufanye yako tu na basi.Hakuna mahali nimesema wananitaka, mimi ndio nimesema "niwaogope au niaje?", Don't take every bit seriously madam!
Mtu wa saluni hakumuweka 'puti' vizuriMiaka 25 ndio anaoneka hivyo? Mbona kama 55?
Bora tuwaambie wapone bana wengi wameuliwa kimya kimya Kuna dada nilikutana naye akasema mume wake ana msumbua alimtaftia sumu Ina mkula taratibu na kalazwa muhimbili anajifia. Mapenzi ni hatari Sana mapicha yakizidi zidi heri mutengane hata kwa mdaDuuuh shost unafichua mengi humu[emoji848][emoji848]
Usitoe siri za kambi please...utawashtua waache waendelee na ubabe, dharau zao kwa wanawake[emoji848]
Hebu shangaa na wewe[emoji848][emoji848]Kamkatili sana mwenzake. Kuna other thread nimeona eti ana mke na watoto wawili. Nazidi kupagawa. Yaan uts lijely neema was mchepuko. Kwann zungu ale vya meenzie kama alikua na maisha mengine?
Mpalestina huyoKirambasi ni kitu gani mkuu, duh una maneno makali we mwana sio poa!
Kula kona fastaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
hapa nimejifunza yule aliyekuwa ananipa hela na mbususu ananipa ngoja nimuache maana hata sim feel kabisa
Kwa anayempenda hata siku moja halalamiki mambo ni magumu na anaoambana kweli apate ampe anayempenda ila kwkao asiyekupenda each day ni malalamiko ya shida tu ili ujiongeze umpe. Hawaimbagi mara nyingi kwakua anajua unampenda utapambana kuda umpe. Ukimpa ndo inakua fimbo ya kukuchapia kwa ampendaye. Naandaa gas mimi [emoji23][emoji23]Kweli kabisa[emoji848]
Ukiona mwanaume anakunyima hela ujue hakupendi kabisa
Chaps lapaa
Sio kweli, utakuwa unanifananisha na Eli mwingine. Sijawahi kuogopa mtu sembuse kabila lake!!! Siwaogopi na siwaachi, nitafanya yangu na nyie[emoji23][emoji23]hapo niaje?Naonaga hii content yako kwenye threads nyingi tu. Ishu ni tuogope na utuwacheee[emoji23][emoji23] ufanye yako tu na basi.
[emoji23][emoji23][emoji23] easy easy... muache kunyanyasa wanawake. Munataka wanyonge nendeni chattle.Kirambasi ni kitu gani mkuu, duh una maneno makali we mwana sio poa!
Inaweza kuwa kweli, ananiwakia sio kidogo!!Mpalestina huyo
Wako wengi tu na hata hapa kwa uzi wako wadangaji wazoefu wanajikuta tu siyo vimariooo. Sasa hivi ni moto wa gas na kutupwa pembeni ya mto rufiji.. vyao haviliei ila vya wenzao vinaliwaHebu shangaa na wewe[emoji848][emoji848]
Sasa jichanganye na wewe...Mpalestina huyo
Atakayekupa falaa[emoji23][emoji23][emoji23] na unaogopa ndo maana unaomba muongozo. Na tukikupa tunakuulia hapohapoSio kweli, utakuwa unanifananisha na Eli mwingine. Sijawahi kuogopa mtu sembuse kabila lake!!! Siwaogopi na siwaachi, nitafanya yangu na nyie[emoji23][emoji23]hapo niaje?
nimeshaacha miss pablo sirudiii tena tatizo kumwambia siku feel namuonea hurumaMko wengi sana. Wenzenu wanafanya kwa upendo nyie munawatumia. Yawezekana kns wajiona mjanja lakini usoni pa Mungu unalo la kujibu aisee. Ni mbaya sana. Halipitagi bure hilo
Hao waliooa Wachaga Ni suala la muda tu, mwisho wao upo karibu.Na kuna makabila yameoa wachaga na wanaishi raha mustarehe. Chasaka mujipange. Sio wachaga wote ni wabaya, wapo wengi ni waungwana
Ewaaa. Karibu kabisa.. mimi naanza na huo mchi. Naukata baada ya kukupa mbususu. Halaf nakuwashia mtungi wa oryxInaweza kuwa kweli, ananiwakia sio kidogo!!
Katubu. Mweleze kwa ustaarabu na uombe msamahanimeshaacha miss pablo sirudiii tena tatizo kumwambia siku feel namuonea huruma