Dar: Grace Mushi ambaye alimchomea ndani Mpenzi wake, akamatwa na Polisi

Ewaaaa... maana ukiwasikiliza hapa wanavyokandia sijui mali mali mali wakati tumeziacha hata makwetu.
wana jidanganyaga sana aisee!
wazee wa kichaga wana penda wakwe wao na wajukuu sana!
Mzee wanguu mara kibao tu nilikuwa ninaona akisema nina mpa mume wa Dada yako yii dah!
eti hataki wajuku wake wapate taabu!!
siku moja broo wangu aka mzingua mzee wangu alitoa cash ndefu kweli kwa Bwashee!! mzee naye aka mjibu una ona Dada yako anavyo fanana na mimi kama wewe!! sasa watoto wake ni wajukuu wangu 100% wewe kwanza na mambo yenu ya siku hizi una weza pigiwa ni kadhani ni wajukuu wangu kumbe wapi!
huyu mkwe ata akipigiwa bado hao ni wajukuu wangu!! mzee alikuwa mnoko ukiingia kwenye 18!!
 
Hahahahha kulaalekiii
 
Du....
Oa mpalestina upate joto ya jiwe.
 
Huo moto angekuchoma chuchu chuchu ,ungekuwa wabandia hauunguzi ? Fire is not a living things,it depend to the catalyst or materials used to burnt.Hujasikia matukio watoto wadogo wanasababisha nyumba kuungua?. Moto ungekuwa unawaskia ungekuwa unagoma kuwaka
 
Hahaha jamaa alipoambiwa tu,nmepokea hela ya mchezo njoo tuonane,jamaa faster kabadili gia a gani kmfata kmbe mtego

Ova
Kumbe demu kajipigilia mibomu mwilini anasubiri afike amlipulie[emoji1787][emoji1787]
 
Tunaongea kama utani ila kifo cha moto ni kibaya sana. Marehemu ameteseka sana mpaka anakufa. Inatia huzuni mno. Tujifunze kuzimudu hasira zetu [emoji17]
Mkuu kifo cha moto sio kigumu sana maana kabla hujafa unazimia kwanza sababu ya moshi mzito, so ukiungua hausikii ukizinduka unajikuta upo kwa Sa God.

Wanao ungua hadi kufa ni wale wezi wa tairi wale ndio wanaiona joto ya jiwe, ila hawa wa kufia ndani ya nyumba wengi wanazimaga kwanza

Sent from my TECNO KITOCHI using JamiiForums mobile app
 
Ivi nyie mnao generalise wachaga wana roho mbaya niwaulize kwani ni Wachaga wamechoma iyo nyumba? Mbona mnatuonea mimi hata siwafahamu ao ila mshanihusisha kweli hii ni sawa?
 
kuna huyu mtoto wa kichaga niko nae akiniomba simu yangu nakuwa mkali bas huwa ananiangaliaa hasemi kitu unaona anaimana kama anatunga sheria.af siku huzi nikilala nae hasinzii kama zaman anajidai kusoma novel

wakuu hapa kuna usalama kweli.
 
Halafu eti mchagga awe Rais wa nchi hii ? Thubutu
 
Malayaa Hana akili.kwelii HUOO uchiwakee ushatumika anajifanya bikira asiibiweeeeeee kha
 
Fact
 
Ingawa Grace atasota jela au kunyongwa binafsi nimefurahia alichokifanya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…