mjombakim
JF-Expert Member
- Sep 10, 2017
- 1,193
- 1,854
wana jidanganyaga sana aisee!Ewaaaa... maana ukiwasikiliza hapa wanavyokandia sijui mali mali mali wakati tumeziacha hata makwetu.
wazee wa kichaga wana penda wakwe wao na wajukuu sana!
Mzee wanguu mara kibao tu nilikuwa ninaona akisema nina mpa mume wa Dada yako yii dah!
eti hataki wajuku wake wapate taabu!!
siku moja broo wangu aka mzingua mzee wangu alitoa cash ndefu kweli kwa Bwashee!! mzee naye aka mjibu una ona Dada yako anavyo fanana na mimi kama wewe!! sasa watoto wake ni wajukuu wangu 100% wewe kwanza na mambo yenu ya siku hizi una weza pigiwa ni kadhani ni wajukuu wangu kumbe wapi!
huyu mkwe ata akipigiwa bado hao ni wajukuu wangu!! mzee alikuwa mnoko ukiingia kwenye 18!!