Dar: Grace Mushi ambaye alimchomea ndani Mpenzi wake, akamatwa na Polisi

Dah kama jamaa alimuahidi ndoa kisha akawa anamchuna basi amelipia utapeli wake wa mapenzi!

Mwanamke akiwa amependa seriously anaji sacrifice kwa lolote kuhakikisha furaha yako tu ila ukizingua maamuzi wanayochukuaga kila mmoja ana ya aina yake ila best yangu cariha anaweza kukunyoosha ana hasira sana 😂😂😂! Huyo mwanamke amewekeza apate kuolewa na HB wake Hamisi Kinyozi halafu kinyozi analeta mambo ya kitoto bana!

Huwezi kumchuna mtu miaka na miaka anakupa maisha halafu kumbe humpendi mie pia nakufanya kitu mbaya aisee naweza nisikudhuru ila ntakutia hasara tu ambayo itakuuma!
 
Grace maana yake Neema. Wapo wanaoitwa Rose na mtaani anazoeleka kama Waridi.
Atleast umemfungua akili huyo mjinga [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Msijidai mna hasiraa sanaa kujeruhiwaa kivipii[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Wewe hayajakukuta...binafsi mi siko hivyo ila majority wanachukua maamuzi ya hivi

Mi vikinishinda huwa natoka baruuu sigeuki

Napenda bata la dunia na kujipenda sana, sijayakabidhi maisha yangu mikononi mwa binadamu mwingine, not me[emoji848]
 
rikiboy umeona hapa?...endelea kubisha!

Yeah dear ukiendekeza mapenzi unafanya vitu vya kipuuzi na majuto badae!

Mi nachofanya huwa natulia kwa sababu naamini muda, kadri siku zinavyokwenda moyo na akili huwa vinatulia utajishangaa badae kwa maamuzi ulitaka kufanya
rikiboy
 
Na wewe ungemuua kweli, huwa niko makini sana na hasira zako 😂😂😂
 
Mwanamke akilipa kisasi dunia na watu wake huwa vinasimama kwanza kusikilizia uzito wa hilo tukio. Mwanamke majeruhi ni sawa na mbogo aliyechaji
Kwamba unataka tuwape attention .. wanawake wajinga kama hao ...

Point yako hapo ni ipi
 
Umeona sasa?

Marioo wa mjini wote wakae mguu sawa[emoji16][emoji16][emoji14]
 
Wewe hayajakukuta...binafsi mi siko hivyo ila majority wanachukua maamuzi ya hivi

Mi vikinishinda huwa natoka baruuu sigeuki

Napenda bata la dunia na kujipenda sana, sijayakabidhi maisha yangu mikononi mwa binadamu mwingine, not me[emoji848]
But inaumiza sana aisee,you give your all to someone who doesn’t even care! Its not easy.

Umri wao ndio umewaponza na ugeni wa mapenzi but kwa experience watoto wa kichaga akiamua kuwa loyal na wewe huwa ni 100% they don’t play, thats why level ya ukatili nayo inakuwaga 100% in case it hits her badly!
 
I know, ukumbuke ukiandika hivyo kwenye usajili ni watu wawili tofauti, mfano; wengine huandika Margreth - Margrate, Matthew - Mathew, Mushi - Mushy, Emmanuel - Immanuel etc hayo majina ni tofauti Mkuu
Kubali kwanza elimu uliyopewa. .acha kuleta ujuaji wakati hujui [emoji3][emoji3][emoji3]
 
Ni noma sanaa aiseee nimeanza kuogopaa[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…