Uchaguzi 2020 Dar: Helkopta ya Kampeni ya Tundu Lissu, yanyimwa kibali cha kutumia anga, ni baada ya kuomba kibali hapo jana

Uchaguzi 2020 Dar: Helkopta ya Kampeni ya Tundu Lissu, yanyimwa kibali cha kutumia anga, ni baada ya kuomba kibali hapo jana

CDM wasiwafanye wananchi wapuuzi. Uungwana watuambie hizo sbb walizoambiwa na TCAA nasie tupime. Lkn si kutupa kauli za jumla jumla za kitoto. Kama issue ni kuwazuia mbona juzi wameenda na kurudi Unguja kwa chata? Kwa nn hawakuzuiwa pia?. Sbb zisizoeleweka maana yake ni nn kiasi ikawa rahisi kwao kuchukua aina ingine ya usafiri?

Sent from my Infinix X624 using JamiiForums mobile app
Yani anajitahidi sana kuichafua serikali na kuona anaonewa tu, yeye anaonewa tu kwa kila kitu, sijui atakua lini aisee!

Mwanaume pambana katika kila hali sio kulia lia na kutafuta huruma za wananchi kama mtoto wa mwisho
 
Yaani wamezunguka Mwanza, Mbeya, Iringa, Arusha kwa gari alafu hapo Bagamoyo wanaenda na chopa?

Sehemu ambayo ukipanda tu daladala ni buku
Kwani pesa anatoa mama yako
 
Yani anajitahidi sana kuichafua serikali na kuona anaonewa tu, yeye anaonewa tu kwa kila kitu, sijui atakua lini aisee!

Mwanaume pambana katika kila hali sio kulia lia na kutafuta huruma za wananchi kama mtoto wa mwisho
Mamito umeona ehee! Kwa TL CCM imevuna kweli maana watu washaanza kumchoka
 
Vyama vyetu vya siasa bado vina utoto Sana.
Aliyeandika hii taarifa kwa umma sidhani hata Kama alikua anajua inatakiwa iwe na vitu gani.
CDM ikiboreshe kitengo cha habari kinakiangusha sana chama.
Akisoma mtu yoyote mwenye akili timamu anaona hii sio taarifa ni malalamiko yaliyokaa kipropaganda zaidi.
Mtoa taarifa huenda na yeye hakuwepo eneo latukio na hajahoji kabisa nini kimetokea kakimbilia kuandika taarifa.
CDM sasa ni chama kikubwa kiache tabia za vyama vichanga kiajiri watu wenye weledi.

Sent from my Infinix X603 using JamiiForums mobile app
 
Chadema wanacheza siasa nyepesi sana.

Lakini mamlaka ya anga ina wasomi wazalendo watawapa majibu mazuri na ya kitaalam.
 
NCHI YA MAAJABU SANA HII , HIVI WANAO YAFANYA HAYA WAMETAFAKALI KESHO YAO , AU NI ILE BENDELA FUATA UPEPO, TUNADHALILISHA TAIFA HILI SANA , KWA MABO YA MAAJABU SANA , HAYA NGOJA TUONE MWISHO WAO , MPAKA HAPO WANAZIDI KUWAPIGIA KAMPENI CHADEMA BILA KUTOJUA ,
Acheni usanii hauwasaidii, hakuna aliyekataza kidege chenu, tatizo hamtaki kufanya siasa mnataka itokee fujo ili mpate sababu ya kusema kwa mab...na zenu. Mwakaa huu haumizwi mtu mtashindwa mchana kweupe. Chuma kipo chato kinapata mirinda bariiiiiidi kwa siku mbili huku kikisindikiza na supu ya kamongo, kitakapoibuka kwa awamu nyingine mtapata habari yenu. Kwa sasa kila anachofanya JIWE na nyie mnaiga, kaamua kupumzika na nyie mnapumzika kwa kisingizio cha kukosa KIBALI, DUU PATHETIC GETE GETE
 
Eti kwa sababu zisizo eleweka😀. Mbona hamjaziweka hizo sababu na sisi tuone kama kweli hazieleweki. Isije kuwa na hili mnataka kulifanyia siasa
 
KWELI MTI WENYE MATUNDA NDIO HUPIGWA MAWE....
Tundu lissu anapigwa kotekote
huku magufuli
huku majaliwa
huku samia
huku kikwete
huku pinda
huku NEC
huku mamlaka ya anga sijui nini na nini
huku tbccm
huku policcm

Wote ni dhidi ya Tundu lissu tu

Mungu ndo amesimama na Lissu na watz wote wako pamoja naye

Watz wanatala mabadiriko hakuna kingine na tumechoka kuonewa mara hii hatutakubali tena
 
KWELI MTI WENYE MATUNDA NDIO HUPIGWA MAWE....
Tundu lissu anapigwa kotekote
huku magufuli
huku majaliwa
huku samia
huku kikwete
huku pinda
huku NEC
huku mamlaka ya anga sijui nini na nini
huku tbccm
huku policcm

Wote ni dhidi ya Tundu lissu tu

Mungu ndo amesimama na Lissu na watz wote wako pamoja naye

Watz wanatala mabadiriko hakuna kingine na tumechoka kuonewa mara hii hatutakubali tena
Umewasahau hawa
MATAGA
Waunga juhudi
UvCCM
LMB7
 
Chopper bovu wanataka kutuletea msiba bure waseme amedunguliwa wapuuzi sana hawa
Weka certificate ya inspection iliyoifikisha mamlaka kufikia maamuzi hayo ya kusitisha, wacha maneno matupu.
 
Back
Top Bottom