Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mmeishazielewa hizo sababu zisizoeleweka ? Maana mnatuchanganya huku mtaani, kwa Akili kubwa (in Rev. Msigwa's voice) ya Chadema eti wameshindwa kuelewa sababu!MaCCM yamezidi kuwa maoga sana hadi inatia kinyaa
Mmeishazielewa hizo sababu zisizoeleweka ? Maana mnatuchanganya huku mtaani, kwa Akili kubwa (in Rev. Msigwa's voice) ya Chadema eti wameshindwa kuelewa sababu!MaCCM yamezidi kuwa maoga sana hadi inatia kinyaa
Mmeishazielewa hizo sababu zisizoeleweka ? Maana mnatuchanganya huku mtaani, kwa Akili kubwa (in Rev. Msigwa's voice) ya Chadema eti wameshindwa kuelewa sababu!MaCCM yamezidi kuwa maoga sana hadi inatia kinyaa
We mjinga unaishi ushenzini Chato halafu unajifanya unaishi pwani punguani weweWatu wa Chalinze hawana ishu na Lisu kabisa hapa ni bata tu.
Yani anajitahidi sana kuichafua serikali na kuona anaonewa tu, yeye anaonewa tu kwa kila kitu, sijui atakua lini aisee!CDM wasiwafanye wananchi wapuuzi. Uungwana watuambie hizo sbb walizoambiwa na TCAA nasie tupime. Lkn si kutupa kauli za jumla jumla za kitoto. Kama issue ni kuwazuia mbona juzi wameenda na kurudi Unguja kwa chata? Kwa nn hawakuzuiwa pia?. Sbb zisizoeleweka maana yake ni nn kiasi ikawa rahisi kwao kuchukua aina ingine ya usafiri?
Sent from my Infinix X624 using JamiiForums mobile app
Kwani pesa anatoa mama yakoYaani wamezunguka Mwanza, Mbeya, Iringa, Arusha kwa gari alafu hapo Bagamoyo wanaenda na chopa?
Sehemu ambayo ukipanda tu daladala ni buku
Walisema wanahofia mgombea wao kufa kama fikiri kunjombe. Sasa nini hiki wanataka kufanya. Hili ni sikio la kufa.Mmeshaanza kutafuta vijisababu.
Mamito umeona ehee! Kwa TL CCM imevuna kweli maana watu washaanza kumchokaYani anajitahidi sana kuichafua serikali na kuona anaonewa tu, yeye anaonewa tu kwa kila kitu, sijui atakua lini aisee!
Mwanaume pambana katika kila hali sio kulia lia na kutafuta huruma za wananchi kama mtoto wa mwisho
Ni hivi ikishamaliza mizunguko lazima irudi mahali pake (airport). Nje huko unaweza ukaipaki popote kwani ni dharura .We boya kweli, kwa hiyo lowassa na mbowe hapo wapo airport?View attachment 1565360
AendeJe kama usafiri wake mmeuzuia . Mbona wivu wa kike ?!Aende kwenye kampeni asitafute sababu zisizokuepo
Unazijua sababu za kuzuiwa au na wewe unafuata upepo tuu?AendeJe kama usafiri wake mmeuzuia . Mbona wivu wa kike ?!
Umepanic jombaaKwani pesa anatoa mama yako
Acheni usanii hauwasaidii, hakuna aliyekataza kidege chenu, tatizo hamtaki kufanya siasa mnataka itokee fujo ili mpate sababu ya kusema kwa mab...na zenu. Mwakaa huu haumizwi mtu mtashindwa mchana kweupe. Chuma kipo chato kinapata mirinda bariiiiiidi kwa siku mbili huku kikisindikiza na supu ya kamongo, kitakapoibuka kwa awamu nyingine mtapata habari yenu. Kwa sasa kila anachofanya JIWE na nyie mnaiga, kaamua kupumzika na nyie mnapumzika kwa kisingizio cha kukosa KIBALI, DUU PATHETIC GETE GETENCHI YA MAAJABU SANA HII , HIVI WANAO YAFANYA HAYA WAMETAFAKALI KESHO YAO , AU NI ILE BENDELA FUATA UPEPO, TUNADHALILISHA TAIFA HILI SANA , KWA MABO YA MAAJABU SANA , HAYA NGOJA TUONE MWISHO WAO , MPAKA HAPO WANAZIDI KUWAPIGIA KAMPENI CHADEMA BILA KUTOJUA ,
Umewasahau hawaKWELI MTI WENYE MATUNDA NDIO HUPIGWA MAWE....
Tundu lissu anapigwa kotekote
huku magufuli
huku majaliwa
huku samia
huku kikwete
huku pinda
huku NEC
huku mamlaka ya anga sijui nini na nini
huku tbccm
huku policcm
Wote ni dhidi ya Tundu lissu tu
Mungu ndo amesimama na Lissu na watz wote wako pamoja naye
Watz wanatala mabadiriko hakuna kingine na tumechoka kuonewa mara hii hatutakubali tena
Weka certificate ya inspection iliyoifikisha mamlaka kufikia maamuzi hayo ya kusitisha, wacha maneno matupu.Chopper bovu wanataka kutuletea msiba bure waseme amedunguliwa wapuuzi sana hawa