Uchaguzi 2020 Dar: Helkopta ya Kampeni ya Tundu Lissu, yanyimwa kibali cha kutumia anga, ni baada ya kuomba kibali hapo jana

Lu ma ga. Hakuna usanii. Na kama ni mapumziko Cdm walikuwa wamemaliza ya kwao . Hivi vikwazo havimsaidii yeyote hata huko Ccm. Mbaya zaidi zinaleta picha ya hovyo kwa taifa letu.

Kila chama kiachwe kifanye campaign kinavyoona na si kufurahisha upande wa pili. Wameshanyimwa vyombo vya habari, na Leo hata zile live stream zimewekewa vikwazo . Na sasa chopa nayo kikwazo . Hofu nini miaka mitano mnafanya wenyewe ?!
 
Kifupu freemason anayejiita Freeman kifupi cha freemason atafute mtu mwingine wa kutoa kafara sio Lisu
 
Ila huu ni uzembe, ni kama hawakujipanga..yaani kama hakuwajua kuwa Mwaka huu kutakuwa na uchaguzi na watatumia vifaa vip waviandae...nahisi wanahujumu wananchi wenye kupenda mabadiliko...
 
daaaaah niko Mlandizi leoo na nlikiwepo kiwanja cha Star
umati wooote uliingiwa na simanzi kugundua Bwana Antipas hatokuwepoo
 
The rattled and timid president has reportedly ordered the aviation authority to deny the permit to the helicopter that was to be used by an opposition party presidential candidate to attend campaign rallies in the Coast Region.

This is one of a series of harsh measures that the government of president John Magufuli has adopted to try to ensure he is curtailing the effort of the opposition presidential candidate, his closest rival, Mr. Tundu Lissu from reaching the electorate.

Magufuli who is seeking a second and his last term in office is likely facing the stiffest challenge to his incumbency probably more than he faced five years ago when he first won the polls by the modest 58%.

Towards the October 28 elections, the opposition parties are already crying foul claiming that a handful of their parliamentary and civic candidates have unjustly been disqualified by the National Electoral Commission (NEC) Returning Officers ostensibly on the orders from the president who also controls the electoral body.
 
Hivi wanaojitoa muhanga huwa wanafikia uamuzi huo kwa sababu ndogondogo nyingi kama hizi?
 
Usitusemeeee
 
Malalamiko FC
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…